Arsenal (The Gunners) | Special Thread

'FC Nantes would like to terminate Marquinhos' loan and send him back to Arsenal. Discussions in progress with the London club.' [@lequipe]

Duuuh!!!!
 
kwani Hamis yupo holiday? Tumekumbuka vitu kutoka kwake mambo ya intensity, high pressing , mid block, counter attack , false nine n. k. Mechi mbili tu zitunyime uhondo ajitokeze tu.

Anatunga sheria namna ya kuja kivingine
 

 
Nacholipendea hili jukwaa la Gunners kuna mpuuz m1 uwa anawajaza wenzake upepo bahari ikichafuka anapotea kwnz yy.

Wanabak wapambe wake kujarb kupoza hali ya bahari kabla ya mkuu wao kuja kuwajaza tena upepo.
 
Arteta angekuwa anajua anatukosesha uhondo gani huku bongo tukifungwa, asingekuwa anaruhusu tufungwe.

Ona sasa Hamis hatuletei matetesi kutoka vyanzo vyake vya Colney. Hatuna picha za mazoezini. Hatuna quotes za wachambuzi...dah, FOMO kama yote inatawala.

Bahati nzuri kwake ni anahitaji kushinda next game tu, Hamis arudi na uhondo wa mwezi mzima
 
 
Ndo ujinga kocha tunaousema.
 
Kwa mwendo huu wa majeruhi ya Zinny na kuondoka kwa Tomiyasu naona kuna uwezekano wa kutosajiliwa kiungo,mshambuliajia na beki wa kati. Nafasi moja hapo inavunjwa soon
 
Mimi nasisitiza kitu kimoja tu hakuna hasara kama kuwa False hoper ,False hopes ni mbaya sana ...

Ukitaka kuamini mtu akuahidi atakuoa hela siku fulani wewe ukujipa matumaini na kupanga bajeti mwisho wa picha jamaa katokomea ..Mwanamke mmeahidiana vizuri muoane na ukamianmini kwa asilimia zote mwisho wa picha unamfuma anatoka na mwamba mwengine...
 
We mchawi tu😀🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…