Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mourinho was RIGHT
️akaonekana HATER!
Asenali ukiwaambia ukweli wanachukia ila kiukweli haka katimu bado sana kwenye masuala ya kushinda ubingwa hasa huu wa ligikuu.
Humu tunaongopeana sana 😂😂😂...

Narudia tena kama kuna shabiki anatarajia kombe lolote kutoka asenali anajitengenezea mazingira ya kunywa sumu kwa hiari😂😂😂..
Hii ni timu kwa ajili ya kufurahia vitukio au mchezaji kwa dk kadhaa na kwa habari ya makombe ni ziada😂😂😂
 
Tukiwaambia hapa Arsenal sio team ya makombe serious mnadhan tunawatania.

Nyie hamuwez beba kombe lolote la maana.. Kuna wapuuz humu wanawadanganya mnadhan nyie mtakua watu wa kuchukuliwa serious kweli?

THE Gunners nyie ni laughing stock na mtaendelea baki ivo kua team ya wasindikizaji mnajipata matumain hewa baadae mna fall sisi tunacheka basi.
 
Timu hii, itatutoa roho.. 😂
Nimetizama kipindi kimoja tu nikapata mashaka kama tunaweza ambulia pointi..
Martinelli, saka.. Ni wakati wa kuletewa changamoto zaidi.
 
Arteta to blame here: insisting on playing the same out of form players in a system that has been found out. Need a fresh start in the New Year and to go after the FA Cup, as the League is gone, and this side doesn’t deserve a Champions League run.
 
Nilishamaliza mjadala hapa, Arteta must be fired immediately. Kuna uwezekano hata top 4 timu haitaingia.

Nyinyi watoto akina Will Jr tutaendelea kuwapa shule ya mpira mpaka mkue.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…