Unatengeneza bomu , Joginho ni livivu sana kwenye kufanya marking na kukaba , liko vizuri kwenye kutuliza temper ya mchezo ,kuusoma mchezo na kupiga pass
Joginho habadiliki kuondoa huo ugonjwa wake ,tangia akiwa Chelsea , ukitaka kumfaidi Joginho ,acheze na kiungo mapafu ya mbwa mithili ya Kante , ambaye anakimbia ,mwenye nguvu na kasi ya kukaba eneo kubwa la uwanja ( kiungo punda )