Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Huyu winga wa Burnely, Odobert, ana balaa sana. Technique, pace, dribbling. TAA anapikwa tu huko!

Yani kaumia Koleosho lakini pengo lake halionekani kabisa.
 
Kila mtu anamuulizia hmu ndani....kama hataki kuja sasahv hatutaki kumuona kwny hili jukwaa tena🤠🤠🤠...maana Hana damu ya uanamichezo....angekuja kutuelewesha kipindi hiki kwnn Gordon hawapi points 3 angekuwa ana sportsmanship...ila kwakuwa yupo mashimoni huko asije kurudi tena hapa
 
Huyu ndiye Emery ninayemjua , tuliwahi hitaji points 3 katika michezo mitano yaani points 15 ,akakosa zote Tena bila kuwepo timu za big 6


Juzi katakiwa kushinda akae kileleni kashindwa ,Leo anakandwa na man u ,had half time alikuwa anaongoza 2-0


Hajawahi ku handle pressure

Record yake kwenye mbio ndefu ni mbaya sana akifika hatua za pressure

Anacheza mpira wakawaida sana ,

Huwa nacheka sana wanaodai Emery hakupewa muda


Kwa huu mpira anaocheza pale Astonvilla ,huo huo mpira ulete Arsenal, lazima afukuzwe
 
Kwa hiyo aseno yako hiyo ni bora kuliko Villa? Kijana jiangalie, angalia na upana wa kikosi cha Villa.

Msimu uliopita tu Arteta wako alishindwa mbio mwishoni mwa msimu na akakosa makombe yooote, leo unamlaumu Emery?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…