Yule jamaa mshamba sana...watu tulishafanya analysis ya kile kikundi chake tukaona aina ya uchezaji wao ni wa kufanya vurugu tu sio kutembeza bolu akawa anatutishia na kina sijui Wilson sijui Gordon...haya kiko wapi

Anasubiri ikitokea tumedondosha point ndo aonekane....ajiunge na Mkohoti watapendeza sana...maana kukandia wanajua🤠🤠🤠....mpk February mashabiki wa timu zte watakuwa wameungana kuanza kuturushia mawe maana tutakuwa tumefungua gepu la point 6+