Partey si anaelekea Afcon hizo tarehePartey and Tomiyasu all hoping to be back by the time Arsenal play Liverpool in FA Cup 3rd round on January 7.
Could be back sooner, with Partey - in particular - progressing well.
View attachment 2852502
Hii picha ya lini mkuu...ni leo au maana kuna sehemu niliona habari kwmba Arteta kawaambia wachezaji leo wanatimba mazoezini...sikukuu ni jioni sio mchanaPartey and Tomiyasu all hoping to be back by the time Arsenal play Liverpool in FA Cup 3rd round on January 7.
Could be back sooner, with Partey - in particular - progressing well.
View attachment 2852502
Sio ya leoHii picha ya lini mkuu...ni leo au maana kuna sehemu niliona habari kwmba Arteta kawaambia wachezaji leo wanatimba mazoezini...sikukuu ni jioni sio mchana
Itakuwa baada ya hiyo mechiPartey si anaelekea Afcon hizo tarehe
Chuma mbili za Wolverhampton ndio umezisahau mapema hivi?Nyie kondoo nawakumbusha mwaka jana by christmass mlikua mnaongoza ligi mkaishia patupu, loosersView attachment 2853154
Hii ndo kazi inayokufaa sasa....mambo ya kushabikia lile genge lako la marastafarai achana nayo mpk timu ikae sawa🤠🤠🤠....Nyie kondoo nawakumbusha mwaka jana by christmass mlikua mnaongoza ligi mkaishia patupu, loosersView attachment 2853154
Alhamisi watatamani muda uishe haraka wale...tutawatoa manunduKituo kinachofuata ni westham
Thomas Partey has returned to full training with Arsenal after completing near three weeks of further training on his own as well as grass work with reserve players.
Partey will now be back with the first team & will give Mikel Arteta a decision to make ahead of West Ham on Thursday.
#ARSWHU #AFC #Arsenal
Mataifa ya Africa yanakuja...hii sio haki kabisaThomas Partey has returned to full training with Arsenal after completing near three weeks of further training on his own as well as grass work with reserve players.
Partey will now be back with the first team & will give Mikel Arteta a decision to make ahead of West Ham on Thursday.
#ARSWHU #AFC #Arsenal
Alafu Ghana anaweza akafika mbaliMataifa ya Africa yanakuja...hii sio haki kabisa
Nyukesto wamepigwa goli zuri kweli
Nyukesto wamepigwa goli zuri kweli
Wanapigwa kama ngomaNyukesto wamepigwa goli zuri kweli