Arsenal (The Gunners) | Special Thread

KUMWAGIA UWANJA MAJI JANA ILIWA COST WAO

1.Odegaard slips leading to potential penalty
2.Saka slips leading to Diaz injury
3.Saka slips and takes off Tsimikas and Klopp
4.Zinny slips and tackles Odegaard leading to 5 on 1 for Liverpool
5.Martinelli slips in Liverpool box on a 1 v1 with Allison
 
Watu wanaongea tu ,Juzi hapa Arteta alisema faida za Zinny ni nyingi kuliko hasara zake

Halafu mechi za kumsumbua Zinny huwa hazizidi 3

Angekuwepo Timber au Tomiyasu ndio mechi zao hizo


Ubavu wa kushoto unamuweka Timber ,kulia Tomiyasu

Mimi sihangaikagi kumlaumu Zinny, maana ile role yake Hakuna anayeifanya kwa ufasaha Kama yeye ,na ndiye anatusaidia Sana kutengeneza mashambulizi
 
Zinny anachokosa Ni ule msaada ambao ulikuwa unatupa favor... Xhaka alikuwa mzury wa ku cover nafasi ambazo anaziacha nyuma na Ndo mana naamini Partey akiwa fiti na Rice akacheza Role y Xhaka itakuwa poa Zaidi . Na zile Mechi ambazo Wapinzani Wanatumia mtu mmoja mmoja kuamua mechi Kama Salah ndo zinamfaa Tomiyasu. Kama Game ya Jana Either Timber or Tomiyasu angekuwepo Game ilikuwa imeisha mapema tu. Na Ndo mana bado tunasisitiza na Tutaendelea kusisitiza kuwa Ligi kwétu inaanza January.
 
Ligi tunaianza January
 
Mwanetu Kai Kawa silence


anaenda kukosa mechi dhidi ya westham ,ana kadi 5 za njano, roho zatuuma maana Kawa shubiri na sio tende

Dhidi ya Westham Kama Jorginho atakuwa fit ,

Kiungo kiwe

Rice- Jorginho-odegaard

Au

Trossard-Rice-Odegaard

Vieira bado injury hadi January

Nimewaangalia Westham Jana vs Manjesta, kwa ule Moto wa Emirates hawachomoki
 
Georginho jana niliona kama yupo benchi vile...naamini mechi ijayo atakuwepo...
 
West ham wanategea pasi tatu goli watarudia kucheza kama walivyocheza karabao.
Nafikiri Silaha zao hazizuiliki kizembe ( paqueta,Bowen na Kudus) hao ndio watakao leta shida kwakuwa wanajiweza sana kibinafsi na njia yao itakuwa pembeni mwa uwanja ili wakibaribia goli ni miwa tu😀
 
Yule muhuni wa Nyukesto yupo wapi...mbona anakuwa sio mwanamichezo🤠🤠🤠....tulikubaliana hmu kwny shida na Raha aje atutembelee lakini naona akibamizwa anapotea kabisa...
 
Tutatoa mfano kwa timu yyte iliyojaribu kutufunga tulipokutana awali au kwny michuano yyte....tutawadunda kama ngoma
 
Hii kitu watu wanachukulia poa lakini mimi niliifatilia kuna mchezo
 

Sahihi huyu jamaa sio natural defender kwa hiyo ukabaji wake sio mzuri kabisa kwa maana ya left back. Naamini hata Arteta alimnunua kwa ajili ya kumtumia kama inverted midfielder, role ambayo pia ameicheza pale city Mikel akiwa assistant.

So, nadhani ni makosa ya Arteta kutokuweka mfumo wa kubalance defence kwenye ule upande wa Zinny. Tulikuwa na Tierney (natural LB) lkn naamini hakupewa nafasi sababu ya namna kocha anavyotaka kumtumia left back kwenye kikosi chake.
 
Labda ushabiki tu kwa wapinzani, ile kiukweli kwasasa duniani hakuna beki mwenyewe viwango vya saliba

Saliba ni wakipekee sana
 
Jana Liva ilikua 5 against 1 hawakuscore.

Leo Chelkenge wamepata 3 against 1 na hawajascore
 
Jana nimewaangalia Sana kwa umakini , wasipokuwa makini wataoga nyingi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…