Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mdogo mdogo mtaelewa tu. tuliyo pitia apo nyuma kipindi Cha miaka Kama 10 +
Na kinacho endelea pale arsenal hitimisho ni kwamba tutabeba epl na reject player wetu..

Sijui wewe na timu yako mnahali gani?? Au Badoo mjasema maana sisi tushasema sana.
 
Mkuu kwa ushahidi huo wa screen shots sina ujanja wa kubishana na wewe, ndiyo maana unatusimanga kutwa kucha.

Ila mwaka huu lazima tubebe hivyo Vikombe maana mbabe wetu City ameshatema Bungo na kutukabidhi mbizo za Ubingwa Arsenal
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkuu tuombe uzima tu, ikifika April nitakua nakutag uwe unasoma comments za ndugu zako humu.
 
Sawa mkuu [emoji1666]
 
Brighton leo ameyakanyaga, somo alilopewa lens baada ya kutuvunjia heshima ndio somo Hilo Hilo linahamishiwa kwa Brighton

4+ goals, itapendeza
 
Naona umefufua makaburi mkuu.

Hii timu wakianza kukutana na vichapo , basi njoo kwenye huu uzi utapata matusi mapya mapya duniani.
 
Hakika Execute umeongea ukweli mchungu, kuna mashabiki humu wakiongozwa na masingeli hua hawataki kusikia kabisa haya uliyo yaongea, tegemea kushambuliwa humu kwa kusema tu ukweli.
Humu watu wanapenda kusikia false hopes za kina masingeli na kuaminishwa humu kua hakuna timu tishio duniani kwa sasa kama Arsenal na hakuna kombe rahisi kubeba kama Uefa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwa hiyo unataka kusema ile FA cup yetu ya msimu wa kwanza wa Arteta umeisahau?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] umesahau kumtajia na mabakuli ya Emirates yaliyojazana kwenye kabati lenu.
 
Hii vita siingizi jeshi langu😅😏
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] umesahau kumtajia na mabakuli ya Emirates yaliyojazana kwenye kabati lenu.
Tena akijisahaulisha namletea tena picha yetu tukiwa thmeshida UEFA Cup Winners Cup
 
Leo naona tutampiga haswa huyu njiwa uchwara. Amejichanganya kayatimba.
 
Arsenal haven't done enough with their possession, but you have to give credit to Brighton who have defended excellently.

The aim of the game is to put the ball in the back of the net and Arsenal haven't done yet.

They need a striker in and around the six yard box because they dominate possession but don't score enough.

It's been a good game of football.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…