Arsenal (The Gunners) | Special Thread

njama ovu zitoke wapi ? Arsenal ndo timu yakufanyiwa njama kweli? Wachezaji wanajindondosha ovyo halafu mnataka foul au tuta! .
Nyie nendeni kwenye draft labda mtaweza kidogo .
hawa jamaa tokea kipindi cha mzee Wenger mpaka leo wao ni kulalamika tu, kama vipi ni bora wajiite tu Malalamiko Fc.
Wao wakishinda huwasikii wakilalamikia VAR wala Refa ila wakifungwa sasa daaaahhh lawama mwanzo mwisho.
Kulialia ni miongoni mwa tabia za false hopers.
 
Ww ni strong line up mko mtaa wa ngapi ww 🤠🤠🤠...timu inaingia uwanjani unaitabiria matokeo na yanakuwq vilevile halafu unakuja huku kuanza kuzungumza sijui Eddie Howe sijui nn....kuanzia leo ntakuwa natabiri mechi zte zenu na matokeo yatakuwa hvyohvyo....bdo hamna timu tengenezeni timu ndo uje kuzurura hmu
 
Kwa mchezaji kama Nketia kucheza Arsenal unategemea nn

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Amenyimwa na Trossard nafasi ya kufunga goli la pili....baada amtengee kijana Nketiah atoke na goli mbili... Trossard kaleta ujinga wake kufumua mpira na hajafunga....January tunamuuza akatqfute timu ya kupigapiga mishuti hovyo🤠🤠🤠
 
Sikutaka game ya united ichezwe usiku hivi ila acha nikomae niicheki tu. Leo tupo na bayern
 

Mimi ninapita kwenye injuries kibao na still sijapoteana na madogo wanapiga ball la maana .

Ngoja nikukumbushe dubarvaka sio first kipa lakini ndo anacheza saivi, njoo livarmento hapo central defender kuna botman , viungo kuna dogo anaitwa miley anakipiga na si first wala second choice .
 
😂😂😂 njama ovu zitoke wapi ? Arsenal ndo timu yakufanyiwa njama kweli? Wachezaji wanajindondosha ovyo halafu mnataka foul au tuta! .
Nyie nendeni kwenye draft labda mtaweza kidogo .
Yani hawa kondoo akili zao bhana, eti wanadanganyana eti marefa wana njama juu yao,kwamba wana timu bora sana au?! hivi nani kawaroga hawa watu.
 
Nani ambaye Hana majeruhi kwny ligi kuu🤠🤠....halafu unaposema mnacheza mpira fresh una maana gani yaani...kudundwa goli 7 mechi mbili zilizopita ndo kucheza fresh au....una shida kichwani inaonekana mkuu sio bure....unafaa sana kwny ishu za Marketing maana unashawishi mpk ambavyo havishawishiki...mechi 2 goli 7-1 halafu unakuja hmu kusema mnaubonda kwlikwli
 

Labda hujui timu inayoongoza kwa ushindi mkubwa ni sisi pia

Newcastle vs Aston villa 5:1
Sheffield vs Newcastle 0:8
Newcastle vs crystal 4:0
Newcastle vs chelaea 4:1

Majeruhi na wewe unajiita una majeruhi
kwa huyo partey na timber? Nikikuiliza unitajie wachezaji wa 3 wa arsenal wanaoanza ambao ni majeruhi hamna.

Team yenye clean sheet nyingi mpaka sasa ni Newcastle nakukumbusha tu.
 
Hunijui.

Ungekua upo humu tangu Emery yupo ungenielewa.

Arsenal ni kubwa siyo kwaajili ya kikosi. Ni kubwa kwakua inawavuta miyeyusho na wasio miyeyusho kuja kwenye thread kama hivi unavyokuja na kutoka. Inawafanya muifuatilie hata msipoombwa.
 
Hunijui.

Ungekua upo humu tangu Emery yupo ungenielewa.

Arsenal ni kubwa siyo kwaajili ya kikosi. Ni kubwa kwakua inawavuta miyeyusho na wasio miyeyusho kuja kwenye thread kama hivi unavyokuja na kutoka. Inawafanya muifuatilie hata msipoombwa.

Ungejua humu tunakuja kwasababu hii ni thread ya vituko na vichekesho plus false hopes.

Humu huwa tunafurahi sana tunavyoona false hopes zinavyotolewa , kulikua na false hope mnamaliza kundi na point 18 ghafla zikapungua zikawa 15, jamaa akaapa na kuhakikishia kwamba lazima point 15 zifikiwe kichekesho hata 15 tu hamjafika.

Anyway hongereni kwa kufika fainali yenu ya uefa round 16 . Tunataka mpe napoli tu awachoshe matusi yaongezeke humu.
 
Sasa clean sheet nyingi au siyo?

Mpo nafasi ya ngapi kwenye timu zilizoconcede goli nyingi?

Tangu msimu umeanza hadi muda huu naandika away mmeshinda mechi moja tu.

Nyumbu, laughingstock of the season, kashinda mechi tisa. Newcastle 8. Tangu 2021 hadi leo mmespend 440M hicho kiasi na mwenendo havifanani.
 
Hebu tafuta sehemu niliyowahi kusema tunamaliza kundi na points 18 au 15 au hata 1.

Humu unakuja kwakua una stress hakuna uzi wa timu yako. Be different kaanzishe uzi, jiamini.
 
Timu yenye clean sheets nyingi ina 6. Arsenal ana clean sheets nyingi anazo 6 na ni wa kwanza.

Timu zilizoconcede magoli machache ni mbili tu. Arsenal na Liverpool.

Timu yenye yellow cards chache ni Arsenal, 21, Newcastle ina yellow cards 41. Defense ya Arsenal ndiyo defense ngumu kuliko zote mpaka sasa kiasi kwamba kipa wake kalazimika kuokoa mpira mara 23 tu.
 
Kipa wa Arsenal, Raya amesababisha magoli mawili, sawasawa na mchezaji mzoefu kuliko wote nyukesto Trippier.
 
Hebu tafuta sehemu niliyowahi kusema tunamaliza kundi na points 18 au 15 au hata 1.

Humu unakuja kwakua una stress hakuna uzi wa timu yako. Be different kaanzishe uzi, jiamini.

Hakuna sehemu nimesema wewe ndo uliosema ,soma vizuriii tena kuna false hoper and senior false giver alisema hayo maneno so mkayameza kama yalivyo.

Stress napata wapi na wakati mimi sio false hoper mkuu , nishakuambia hii thread ni kijiwe cha vichekesho na kupiga zogo. Tunafurahi kuwa hapa wala hatuna tatizo na nyinyi false hopers ila tuna tatizo na false hopes mlizonazo.

Naona unanifukuza mkuu mapema iviii je tukifika january or February si ndo utatamani nipigwe ban kabisa.
 
Ukianzisha uzi tutajua wapi pa kukupata, haufukuzwi.

Kenge, kuku na nyumbu tunajua tunawapata wapi. Wewe upo kama Yahaya tukuvizie tutakapokukuta tukushushie marungu muda huo huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…