verifaidi yuza
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 3,121
- 6,184
Mwanetu Cedric yuko kikosini...Acheze hata Cedric Soares
Mwanetu Cedric yuko kikosini...
Iyo mbavu ya kulia wangemuachia yule dogo Walters tumuoneNgoja vijana wapate game time
Kama hawataki tubebe kombe lao, walipeleke guantanamo likalindwe huko.Taarifa ni kwamba Hitimisho la FA kuhusu comment ya Mikel Arteta kwa waamuzi kwenye mechi yetu dhidi ya Newcastle lipo mbioni kutolewa. Na tetesi ni kwamba wanavizia ili mechi yetu dhidi ya Liverpool asiwepo kwenye touchline.
Umenikumbusha nilikua naangalia game yenu na aston villa sasa pembeni yangu alikaa false hoper mmoja analalamika jesus hana makali yoyote nikamuuliza si mna sub aingie nan? Akaanza kuongelea mambo ya osimhenππ nikamwambia huyo mchezaji wa napoli tusubiri Nketiah ataingia , akaanza ooh hela ya kai na balogun si inatosha kumnunua osimhen, nikaona yale yale ya false hopesπArsenal inajulikana kuwa ina tatizo ndani ya suluhu na suluhu ndani ya tatizo. Ila rafiki yetu naona analileta hilo suala kama vile kwetu ni tatizo kubwa sana au kama linatuathiri zaidi ya kiasi, wakati siyo hivyo. Tunakuwa maeneo ya juu kwenye goal difference ila siyo kuongoza goal difference (Unaweza kuta tutapitwa na timu 1-3). Unakuta tumefunga magoli mengi lakini wachezaji wetu hawafikishi hata magoli 20 kila mmoja, huku timu za chini yetu zinawachezaji wenye magoli zaidi ya wakwetu. Lakini hizo timu hazifungi magoli mengi kuliko sisi. Tumeshawahi kuwa na Aubameyang aliyehinda kiatu na Mane na Salah ila tuliishia wapi?
Hatusemi hatutaki wafungaji wa magoli 20+, of course tunataka na kila siku unasikia tunahusishwa nao. Ila ni wazi pia kuwa kumetengenezwa mfumo wa kufanya tufunge mengi na kushinda zaidi ya hao wenye 20+ goal strikers ila tunajua bado haitoshi. Nadhani Nketiah labda na Saka kama ikosei ndiyo wana hat-trick kwetu, ila kuna timu zimepiwa 5-0, 6-0. Lens alipiwa 6-0 hapa juzi juzi na tulikuwa na wafungaji 6, yaani nusu ya timu imefunga. Tunataka tufunge zaidi kwa system hii hii, kwa kuboresha wafungaji na system. Inawezekena yeye hajaelewa hili. Ndiyo maana hata watu walimuuliza nani anamtaka Wilson ama Isak? Na akaambiwa kuwa kiukweli hao jamaa wakija Arsenal wakimkuta Jesus yuko fit, hawamuweki bench. Mfumo. Theory yetu ni kwamba Arteta atakuwa radhi akomae kuboresha ufungaji wa Jesus kuliko kumweka bench kwa Isak au Wilson.
Hakuna anayekuandama haya ndo matokeo halisi ya false hope, game na PSG vs Newcastle penalty ya psg ilikua ya mchongo lakini ulimsikiliza eddie howe alivyoelezea kitasha zaidi kulaumu waamuzi na VAR , arteta yeye analopoka tu wakati ni goal halali review zimefanyika zaidi ya 3 na still ikawa halali.Wanatuandama sana wale wapuuzi. Ila ndiyo maisha yetu EPL na wengine hawawezi kuelewa. Tunalazimika kuruka pale wengine wanapoendesha, na kukimbia pale wengine wanapotembea.
Hizo rasta zake ndio zinatmponza Kenge fc Sasa hivi wataanza kumuwindaHuyu Bakayoko ana vitu miguuni. Arteta amuangalie
pamoja na njama ovu dhidi yetu, sisi tutaendelea kupambana na kusonga mbeleHakuna anayekuandama haya ndo matokeo halisi ya false hope, game na PSG vs Newcastle penalty ya psg ilikua ya mchongo lakini ulimsikiliza eddie howe alivyoelezea kitasha zaidi kulaumu waamuzi na VAR , arteta yeye analopoka tu wakati ni goal halali review zimefanyika zaidi ya 3 na still ikawa halali.
Arteta nae kashawajulia nyinyi ni false hopers so anazidi kuwajaza false hopes kondoo zake.
πππ njama ovu zitoke wapi ? Arsenal ndo timu yakufanyiwa njama kweli? Wachezaji wanajindondosha ovyo halafu mnataka foul au tuta! .pamoja na njama ovu dhidi yetu, sisi tutaendelea kupambana na kusonga mbele
ana nafasi ya kusonga of courseNyukesto akimfunga ac milan halafu dortmund akimfunga psg kumbe anaendelea mbele π
Wewe huwezi kukubaliπππ njama ovu zitoke wapi ? Arsenal ndo timu yakufanyiwa njama kweli? Wachezaji wanajindondosha ovyo halafu mnataka foul au tuta! .
Nyie nendeni kwenye draft labda mtaweza kidogo .
Juzi tu game na aston villa lineup ilitoka ukaanza lalamika sub ipo very weak . Nikakuambia siku si nyingi utasahau haya maneno yako utakuja na false hope nyingine.Hii timu kubwa sana.