Muache kidomodomo ,ligi ya epl ni ngumu sana sasa hiviWanasema tuna mdomomdomo sana ndo maana mkuu🤠🤠🤠...yaani sasahv hata kubdroo hatutakiwi
😂😂😂😂😂Tunaanza ligi January
View attachment 2838789
Mwaka huu nyinyi ndo mtakua bottlers, sisi tutakutana mwakani huko kuanzia February[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mshavunja nyongo
Bro bdo una ya jana🤠🤠....potezea yameshapita Yale...tuangalie mengine kwakwliHivi ile penati aliyopewa crystal palace(mateta) faulo yake inautofauti gani na aliyofanyia gabriel jesus?
Nimeona marudio ya game ya Liverpool, nimeona tukio nikakumbuka la janaBro bdo una ya jana🤠🤠....potezea yameshapita Yale...tuangalie mengine kwakwli
Uingereza kma una hasira unaweza kulamba makofi waamuziNimeona marudio ya game ya Liverpool, nimeona tukio nikakumbuka la jana
Sana ,ni moja kati ya timu zilizoperform vizuri sana msimu so farWestham akipata mwekezaji msimu huu, misimu miwili mbele atakua nyukesto ya sasa
Kwasababu wanaona wanaocheza nao wanawamudu...Nyukesto wakiona wanazidiwa hua wanapaki basi, sielewi kwanini hawajamfanyia hivyo Spurs
Kabisa kaka, kwangu ile ni penati kabisa.Uingereza kma una hasira unaweza kulamba makofi waamuzi