computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,479
- 6,033
Kiukweli inabidi team iendane na Kai kwa sasaShida sio Martinelli, shida ni hatuna LCM wa kumsaidia
acha afe tu.kale kauwanja cha luton unakaonaje aseCity anakufa huko, ila no one cares
Tumefungwa kwa dhulma, kuna ajenda against Arsenal nilishasema na nitaendelea kusema
Sisi tulipata ushindi dakika za jioni ikaonekana bahati, Pep anahangaika na 4th official uko analalamika tuacha afe tu.kale kauwanja cha luton unakaonaje ase
arsenal tunapigwa vita sana ase. tukishinda tabu,kukidroo tabu, tukifungwa ndo hatariSisi tulipata ushindi dakika za jioni ikaonekana bahati, Pep anahangaika na 4th official uko analalamika tu
yupo sirias bossNadhani City hayuko serious.
arsenal tunapigwa vita sana ase. tukishinda tabu,kukidroo tabu, tukifungwa ndo hatari
kabisa
Wangekuwa hawako serious wasingekuwa wanambutulia mashuti kipa wa Luton🤠🤠🤠...ni kwmba tu mpk Sasa Hali ya bahati imeshachafuka...vile vitoto vina mbinu za kimafia....kipara abadilike vngnevyo misiba ya jana itatawala na majukwaa Yao leoNadhani City hayuko serious.
ngoja nisubiri hadi baadae mechi ya nyukesto ikiisha nini kitaendelea humuWanasema tuna mdomomdomo sana ndo maana mkuu🤠🤠🤠...yaani sasahv hata kubdroo hatutakiwi
Nakuelewa, kweli bahati imeshachafuka. Pep ajipangeWangekuwa hawako serious wasingekuwa wanambutulia mashuti kipa wa Luton🤠🤠🤠...ni kwmba tu mpk Sasa Hali ya bahati imeshachafuka...vile vitoto vina mbinu za kimafia....kipara abadilike vngnevyo misiba ya jana itatawala na majukwaa Yao leo
😂😂😂😂Wangekuwa hawako serious wasingekuwa wanambutulia mashuti kipa wa Luton🤠🤠🤠...ni kwmba tu mpk Sasa Hali ya bahati imeshachafuka...vile vitoto vina mbinu za kimafia....kipara abadilike vngnevyo misiba ya jana itatawala na majukwaa Yao leo