Timu ambazo ziko trophy oriented kuuza mchezaji kwa bei kubwa hua yaweza tokea mara 1 kwenye dirisha la usajili, mfano huwezi kuta Bayern imeuza mchezaji wake kwa 60M kwenda juu kwa misimu minne mfululizo.
Barcelona wamewahi muuza Neymar kwa bei ya juu mno, baada ya hapo wamemuuza nani kwa nusu ya pesa ya Neymar?
Same na Juve/ Nyumbu etc.
Sababu ni kwamba kwa mchezaji mwenye hiyo thamani ni kumaanisha yuko vizuri uwanjani na anatarajiwa atoe mchango kwa ajili ya trophies. Hizi timu hazitegemei mauzo ya wachezaji kama chanzo kikuu cha mapato.
Dortmund, Brighton, Westham, Villa, Atletico, Inter (Ya kuanzia misimu mitatu nyuma mpaka sasa), Leicester na wanaofanania hapo kuuza wachezaji kwao ni sehemu ya mapato. Leicester baada ya kombe msimu uliofuata timu kubwa zikaondoka na uti wa mgongo wa timu.
Arsenal iliwahi kua inauza wachezaji kipindi ambacho kuna mkopo wa uwanja, kipindi hicho timu kichaa kutoa zaidi ya 50M ni Madrid. Arsenal imeuza wachezaji kipindi ambacho timu ikitoa 55M inampata Zidane aliyeiva.
Sasa hivi unatoa 100M anakuja mchezaji anakaa misimu miwili bila goli.
Arsenal ya sasa haiwezi kuuza mchezaji kwakua inataka mapato. Ya zamani ingemuuza Saka, Saliba, Magalhaes, Martinelli, Smith Rowe n.k.
Saka ana rekodi kubwa sana kwa sasa, kwenye GA, dribbles na chance creation, kote huko ni wa kwanza with 50+ by wa kwanza means hakuna mwingine. Ana umri unaoruhusu kukua.
Wote tunafuatilia mpira, msimu uliopita Almiron alishine for almost game 6 baada ya pale hatumsikii tena, same purple patch imemuangukia Gordon. Ni ujinga kudai he is better than Saka.
Transfer market and the like wamelist market value ya kila mchezaji, waweza jaribu kuangalia.
Newcastle nzima mchezaji ambaye anaweza kuingia Arsenal bila kusubiri ni Trippier tu. Mwingine yeyote ataanzia benchi easily.
The hate is too much eh? Sidhani. Hii siyo chuki, ni ujinga.