Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,225
- 96,111
Nyumbu kula chuma hichoo🤣😂😆Vikojozi asenyeto mmekuwa na kidomo domo sana baada ya ushindi wa papatu papatu mechi mbili tatu hivi zilizopita ,nawakumbusha tu hii ni Epl
Take care ,ninyi ni wasindikizaji tu
Msijipe umiliki wa title ambao hamna
Kamekimbia , huwa vinatabia ya kujificha ,vinavizia mpaka vibahatishe ndio utabiona humu vimelundikana kama nyigu na statistics ushuziKale kajamaa kastats za uchwara kapo shimoni.
Namba Zina ongea, ana ongoza ligi nani 🤔😄.Hii mid ya Arsenal ndio huwa tunaambiwa inatisha. Ptuu ukikuta inapambwa humu unaweza hisi ile mids ya AC milan ya 2006 au ile mids ya Barcelona ya 2009-2013
@Hamis 77 tokeni huko kwenye mashimo mlimojifichaKamekimbia , huwa vinatabia ya kujificha ,vinavizia mpaka vibahatishe ndio utabiona humu vimelundikana kama nyigu na statistics ushuzi
Liver tunaongoza ligi we kondoo.
We unaona mi nafanania Nyumbu ?Tuliza kichwa we nyumbu, dozi ni nzito..
mkorea, Scars, hamis77 nyumbu Hawa wezi ona ya kwao,
View attachment 2837865
Wewe mshika manati acha kuota ,amka
Focus nimeihamishia kwenye CAF naona EPL imekuwa miyeyusho
Something not right so far
Kula chumaaaaa hichoooooooooTuliza kichwa we nyumbu, dozi ni nzito..
mkorea, Scars, hamis77 nyumbu Hawa wezi ona ya kwao,
View attachment 2837865
It's a matter of time, meza Ina pinduka- tuna shinda 3-1Liver tunaongoza ligi we kondoo.
Tuna shinda 3-1 take my word, UTA onaKula chumaaaaa hichooooooooo
View attachment 2837919
Endelea kuota.It's a matter of time, meza Ina pinduka- tuna shinda 3-1