Labyrinth 84
JF-Expert Member
- Feb 13, 2017
- 1,107
- 3,191
Labyrinth 84
Kuna timu kubwa imewahi kumtaka Wilson?
As of now kuna timu imeonyesha kumtaka mchezaji yeyote wa nyukesto?
Kiwior. Anakaa bench Arsenal, Juve inamtaka
Upo wapo wawili tu ,mmoja kakimbiaKumbe kuna uzi wa Newcastle!?
Nimekuuliza kama kuna timu kubwa imewahi kumtaka Wilson
Nyie ndio mnampa airtimeKumbe dawa ni iyo tu kumuangalia na kumuacha eeh,
Safi kabisa
Safi sanaHuyo kiwior ni mchezaji?View attachment 2837604
Huyo hapo bruno na hauuzwiii , maswali yako nakujibu ila nashangaa wewe swali dogo tu hujibu .
Nitajie mchezaji ambaye kashauzwa arsenal amezidi paundi 50M toka ulimwengu huu wa soka uanze.
Juve inamtaka huyo mcheza kutokana na bei yake ni pauni 1 au 5 kama holding mlimuuza shingapi vile? Au tuambie pepe ameuzwa shingap?
Swali umeniuliza nimekujibu βbruno anatakiwa na barcelona hio hapoβ.
Nazan wewe kama walivyosema wadau wewe ni wa kupuuuzwa timu yako itapokuwa itapokuwa na hadhi ya kujib, nyumbu na kenge tunaeza kukaa nao meza moja tukazungumza siyo wewe
Bdo unakuja kuzurura hmu wakati una msala na Everton wiki hiiπ€ π€ π€ ....watu mna roho za paka aiseeSafi sanawasagie kunguni hawa pimbi asenyeto , wanainua mabega na wanajiona washabeba kombe
Pumbaf labda wabebe ndoo za ulanzi na chimpumu
Wamekalia nafasi za watu nao wanajiita title contender
Asenyeto watoto wadogo sana
Source: Mundo DeportivoHuyo kiwior ni mchezaji?View attachment 2837604
Huyo hapo bruno na hauuzwiii , maswali yako nakujibu ila nashangaa wewe swali dogo tu hujibu .
Nitajie mchezaji ambaye kashauzwa arsenal amezidi paundi 50M toka ulimwengu huu wa soka uanze.
Juve inamtaka huyo mcheza kutokana na bei yake ni pauni 1 au 5 kama holding mlimuuza shingapi vile? Au tuambie pepe ameuzwa shingap?
Swali umeniuliza nimekujibu βbruno anatakiwa na barcelona hio hapoβ.
Nani kawahi kumtaka Wilson?Mbona unarukaruka ?kwahiyo ubora wa mchezaji unaangaliwa kwa idadi ya timu inayokutakahivi nyinyi mnatumia nini kufikiri au kujenga hoja?
Yaani ubora wa mchezaji unaangaliwa kwa timu inayokutaka na si performance uwanjani.
Ndani ya misimu 4 huyo first choice striker wa arsenal (jesus) kazidiwa magoli kila season na wilson na bado mnakuja kukaza mishipa humo β oooh eti timu gani kubwa inamtaka wilson , tunaangalia performance uwanjani na si kingine.
Mjibuni namna atakavyokuja tuπ€ π€ ...mtoto mdgo kama hyu hatakiwi kutupanikisha hmu ndani...analeta vi stats uchwara wakati ubora wa wachezaji ndo una determine kwa kipindi husika timu iwe wapi.....Sasa hao vijana wake wanadandia namba nane sijui kumi huko kwny msimamo wa ligi halafu anakuja hmu ndani anawapanikisha kwli???....inatakiwa sasahv tusumbuane na kina Saint Anne kina Pain Killer na kina Flano kidogo kwasababu ni watani wa jadi....sio Nyukesto wazee wa vuruguY
Yaaan huyo ndug yako anaubishi wa kitoto huwez ukamweka saka kwenye kapu moja na gordon ukasema unaakili timamu,ubishi wa kitoto ni kubisha ukiwa haumaanishi unachobisha
Nani kawahi kumtaka Wilson?
Huyu striker wa Newcastle hatari kabisa mpaka anaogopwa amewahi kutakwa na nani?
Hehehe so hii 2018 Chelsea ikiwa na Hazard, Willian, Pedro, HiguainView attachment 2837618
View attachment 2837619
Haya hizo hapo team zilizowahi kumtaka wilson. Mimi naona huna hoja kila nikikujibu unaleta vioja eti sourcesasa unataka source unazopenda wewe
Tusubiri tu mpira maana huna hoja saiviii
Wewe ni wakupuuzwa nenda kwenye jukwa lako kwenye majimbi ukoUna hadhi gani sasa wewe hapo ulipo zaidi ya false hope tu.
Mnaanzisha vitu then tukija kuwasanua na ma false hope yenu mnaanza or sijuiii ignore sijuii block sijuii kupuuza .
Niambie gordon ana goli ngap na saka ana goal ngap basiii ?
Wewe huna hadhi yoyote miaka 20 trophyless then unajiita una hadhi
Sawa kamzid saka nenda kwenye majimbi uko katafute wenzakoView attachment 2837618
View attachment 2837619
Haya hizo hapo team zilizowahi kumtaka wilson. Mimi naona huna hoja kila nikikujibu unaleta vioja eti sourcesasa unataka source unazopenda wewe
Tusubiri tu mpira maana huna hoja saiviii
Nawasagia kunguni mkuu , Everton hatusumbuiBdo unakuja kuzurura hmu wakati una msala na Everton wiki hii....watu mna roho za paka aisee
Nawasagia kunguni mkuu , Everton hatusumbuiBdo unakuja kuzurura hmu wakati una msala na Everton wiki hii....watu mna roho za paka aisee