Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arteta: "More than control, I want dominance. Dominance in the right area and not allowing the opponent to breathe. This is what we do. Control in certain areas of the pitch, I'm not interested at all in that, because we can get in trouble by trying to do that.


[@SkySportsNews]
 
Ule Uzi wao wa Newcastle wameukimbia

Walikuwa wawili mmoja kaona hali mbaya kakimbia ,mmoja kaona anajiongelesha mwenyewe ndipo kakimbilia humu ,msipompa airtime sijui ataenda wapi
 
Unae midfielder, lakini unampanga stones na akanji
And still kwenye sub, unawainua wengine yeye unamuangalia tu

City walipigwa na yeye ilibidi ajue kitambo Sana kuwa hapa sina namba

Huyu labda wauze £20m
 
Anamuweka sentence moja Saka na Gordon


Huyo Mwehu kabisa
Unajua mtu ukishakua mpumbavu ni ngumu Sana kusaidiwa
Sasa hiyo comparison ya saka na gordon, kwenye aerial duels Nani yupo vizuri?

Katika ya saka na gordon, ukipewa bure unamchukua Nani?

Namvutia Kasi aingie ignore/block
 
Nimekuelewa
Ile game ya juz odegard mipira mingi alikua anatoka nayo chini ilikua ni hatari sana
 
Hicho ndo mm Kila siku nakililia ndo maana Partey majeraha yake yanatuangusha sana....angekuwepo yy na Rice pale dimbani halafu nyuma yupo bwana mdo Timber na wale wahuni wengine....hakyanani...mechi zingekuwa zinaisha kwa timu pinzani kuwa na ball possession ya 10%...
 
Yan katika kitu mnakosea ni kumjibu huyu mtu na hiki ndo anaona litimu lake ni likubwa ..hakuna haja ya kumjibu mwacheni aongee tu pumba zake siku tukiona timu yake ina quality ya kujibiwa basi tutamjbu ila kumjibu sasa hiv ni kupoteza mda tu ...mara kumi tujibishane na shabiki wa Aston villa kuliko huyu mamluki
 
Arsenal ikiamua kumuuza Saka January tutamuuza kwa 120M.

Gordon mtamuuza kwa shilingi ngapi?

ushawahii kuuza mchezaji kwa hata 60M tu toka arsenal imeanzishwa? Mlipigwa kwa pepe kwa 72M then mnamuuza kwa 1.5 m . Unajipa false hopes eti saka ni 120M

Gordon kauzwa kutoka everton 45 M sasa unategemea tukiuza tutauza hela ya chini kama nyinyi ?

Hio 45M hakuna mchezaji ameshawahi kuuzwa hela kubwa arsenal kuzidi hela aliyeuzwa gordon kutoka everton nakupa hiii nyingine pia najua ulikua hujuii wacha nikujuze sasa.

Unaposema unauza kwa bei kubwa tuambie toka arsenal imeanzishwa nan aliuzwa kwenda timu nyingine hela iliyozidi 45M , ukionyesha nakupa milion 1 sasa hivi hapa.

Tuliambia ramsdale ana thamani ya shingapi vile?
kina holding, pepe, takuma, wachezaji wa paundi moja moja.
 
Mshakaji ndo maana humu ndani walikupiga marufuku hata kuwaquote. Huwa unakuja na data kamili. Uzuri wake unawajua hawa false hopes f.c nje ndani.
Sasa hivi wanakutishia kuku block/ignore
 
Waue waue. Hapo kwenye data hapo mkuu ndo hawapendi kabisa kusikia. Waoige za tumboni, uso uache.
Waumize hawa makondoo
 
mkuu Labyrinth 84 hizi nyau za humu zikionaga comments zako kwanza hua zinasonya kimoyomoyo halafu ndio zinasoma, uwepo wako kwenye hili jukwaa hua ni faraja kubwa sana kwa wale mashabiki wa arsenyau wasiopenda false hopes.
 
Kwa lipi Sasa shehe🤠🤠...mi binafsi mtu akikasirika kwa sababu ya mtu kuja kujaza nzi hmu nakuwa nastuka kidogo kwa sababu Haina haja ya kukasirika maana pumba huwa zinajitenga na mchele kadri msimu unavyosonga....Sasa hyu Labyrinthitis 84 awe anakuja kutapika tu hmu maana kale kajukwaa Kao ukiwafata utakuwa unawaonea tu maana hawana timu...Wana kikundi kinachopeana morali tu....sisi tutasumbuana na watu wa Manunu...Chelkenge.. Liverfools na Mama Cita sio Nyukesto....na tumawakumbusha ndugu zetu Nyukesto....wikiendi hii Wana Son anawasubiri🤠🤠🤠...tabu Iko palepale
 
Unajua mtu ukishakua mpumbavu ni ngumu Sana kusaidiwa
Sasa hiyo comparison ya saka na gordon, kwenye aerial duels Nani yupo vizuri?

Katika ya saka na gordon, ukipewa bure unamchukua Nani?

Namvutia Kasi aingie ignore/block

Huyo saka kacheza dakika nyingi kuliko gordon na still kazidiwa magoli , wewe unakuja na comparison za aerial duels
unaelewa hata maana ya aerial duels kwelii gordon hayupo Newcastle for aerials duels hayo mambo anayafanya joelinton huko .

Na wewe ushaanza kupata trauma nini mkuu
 
Arsenal ikiamua kumuuza Saka January tutamuuza kwa 120M.

Gordon mtamuuza kwa shilingi ngapi?

Nakuuliza tena nitajie mchezaji yotote yule ambaye ameweza kuuza kwa zaidi ya 45M pale arsenal sio unaongelea tu 120M wakati hata 45M hamjawahi kuuza

Nina milion 1 hapa nitajie mchezaji mmoja tu wa arsenal ambaye amewahi kuuzwa hela ambayo everton wamemuuza gordon kwenda Newcastle.

Humu muda mwingine mpaka nashangaa mtu hana hata data anaongea tu
eti 120M saka wakati hata kuuzwa kwa 45 hamjawahi. Mwehu ni nan hapa ? Anayeongea mwenywe tu ama?
 
kweli kabisa ndugu yangu arsenal2004 kua pumba hua zinajitenga na mchele kadiri muda unavyosonga mbele, nakumbuka hata msimu ulioisha pumba zilichangamana na mchele kwa zaidi ya siku 258, ila mechi 4 kabla ya ligi kuisha pumba zilijitenga zenyewe na ulimwengu mzima tulilishuhudia hilo.
kwa huu msemo wako wa pumba kujitenga na mchele kadri msimu unavyosonga basi kuna mashabiki wenzio wa Arsenyau wasiopenda kusikia ukweli wataanza kukushambulia na kukuita mamluki.
 
Mwaka jana tulipigwa na kitu kizito kwli...mi huwa naukubali ukweli kama ulivyo🤠🤠🤠 siishi kwa denial...ila mwaka huu msahau kabisa hilo kosa kujirudia...ila Hawa Nyukesto sijui yaani tulichokisema mwanzo wa msimu ndo hiki kinachoendelea....tukiwaambia Hawa wanatakiwa wajipqnge kwa misimu walau mitatu hvi...kusajili waleta vurugu uwanjani hakuwezi kukusaidia msimu mzima....na nikasema wakikaa vbaya hata Manunu watakuwa juu Yao na tyri ishatokea....Sasa leo tamko lingine wakikaa vbaya hata conference hawatacheza....maana hawana timu Wana wafanya vurugu
 
Do you condemn pumba kujitenga na mchele 3 weeks before the end of the league?
 
Ile picha unayowalinganisha kaangalie Kama hakuna "aerial duels won"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…