Halafu kiwanja Chao kidogo, kumbe pale cheza long balls tuLiva kasuluhu na Luton.
Game inayofuata Luton alicheza na nyumbu.
Nyumbu akashinda 1
Luton kampiga Palace.
Ila kapigwa na Brentford.
Next match ya Luton ni dhidi ya City.
Luton akicheza na timu zinazokupa mpira na kufocus kufunga anapata tabu. Palace hakuliona hili akadondosha points zote, liva akasubiri hadi dakika ya 95 ili kupata point moja.
Timu imefanya poa. Imestep up ilipotakiwa kufanya hivyo.
Raya ajali kaziniNaona rate ya 8 zime tawala, Raya ndo kazingua
Acha wateseke mkuu.ni kama mtu anayesubri mali za urithi haachi kuombea misibaChuki zimekua juu hadi zimeshusha standards.
Zamani ilikua tunatishiwa Spurs, Brighton na wengine wa top 4.
Siku hizi unaona pimbi anakuambia msijisahau Villa mmemuacha points chache tu. Next game villa anaburuzwa hadi anaomba draw dk za lala salama.
Mara anatokea pimbi mwingine anakuambia jiandaeni na villa next week. Utadhani itakua mara ya kwanza kuwafunga hao.
Nacheka sana nikiona vilio
Jana ameubonda kisawa sawaKai Havertz vs Luton Town
• 90 mins played
• 52 touches
• 23 passes completed
• 6 passes into final third
• 10 duels won
• 6 recoveries
• 5 shots
• 4 chances created
• 1 goal
Arteta is working magic on our German machineView attachment 2834308
alidrawa na Liverpool wa pili kwenye league ...
Hahaaaakwema kaka
Bielsa anakuambia katika mchezaji mgumu kumpata ni namba 8 yeye anaiita hiyo namba 'The Modric' anakaba kama 6 anashambulia kama 10.
Angalia Odegaard akipata mpira miguu yake inavyochangamka . . . Anavyofosi kwenda mbele . . .
Juzi tu hapo Liva kaongozwa na Fulham akashinda 4 kwa 3 dakika zikiwa zimeenda wakawasifia Liva.
Arsenal kashinda kwa magoli hayo hayo dhidi ya timu ambayo liva aliacha points mbili eti wanasema tunabahatisha.
Lieni tu
Kaka wazoee tu ,standard wametuwekea iwe WIN tu hawataki hata tutoe sareBielsa anakuambia katika mchezaji mgumu kumpata ni namba 8 yeye anaiita hiyo namba 'The Modric' anakaba kama 6 anashambulia kama 10.
Angalia Odegaard akipata mpira miguu yake inavyochangamka . . . Anavyofosi kwenda mbele . . .
Juzi tu hapo Liva kaongozwa na Fulham akashinda 4 kwa 3 dakika zikiwa zimeenda wakawasifia Liva.
Arsenal kashinda kwa magoli hayo hayo dhidi ya timu ambayo liva aliacha points mbili eti wanasema tunabahatisha.
Lieni tu