Hio kitu ndio inatufanya hata sisi mashabiki tuanze kumtilia mashaka Baba ubaya (7hag)Si ndiyo maana yenyewe ya hamkutaka hiyo sasa [emoji1787]. Kama jana kwa nini hamkucheza tu game lenu bovu la janjajanja la kupaki basi na kuvizia counter? Mkaanza kujiona eti na nyie mnaweza kama wengine mkaanza kupishana na wale wanaOttoman. Mkawapa confidence, mwishowe mkapoteza points 2.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hebu tema mate chini kwanza, yaani Kai ndie wa kumuweka benchi Bruno Fernándes?Bado hatujaridhika aisee. Tena hiyo ya marudiano tunatamani tuwapige kama hawa Lens. Kwa maneno ya mkorea , 'heshima irudi'. Ila pale unyumbuni naona mna mali aisee. Kale ka Garnacho tupeni basi kaje kusugua benchi. Akitoka Martinelli kaingie. Huyo Fernándes pia tupeni tumuweke bench ili akitoka Kai, Bruno aingie.
Kwani kupaki basi si suala la kimfumo zaidi kuliko wachezaji? Baba ubaya yeye awaambie tu wachezaji wajipange hivi, wabutue mipira mbele au kwa Bruno au Garnacho. Wao wapige mashuti wajaribu kubahatisha goli 😁Hio kitu ndio inatufanya hata sisi mashabiki tuanze kumtilia mashaka Baba ubaya (7hag)
Hawa kina Urtuglu mechi ya kwanza pale Trafford mpaka kipindi cha kwanza kinaisha tulikua tunaongoza kwa 2 - 0 kipindi cha pili kwa mpira huo wa kupishana goli 2 zikarudi na wakatufunga kabisa wakaondoka na points 3.
Kwa kilichotokea Old Trafford nilijua 7hag atajifunza tukioenda Uturuki lakini matokeo yake mambo yamejirudia vilevile.
Ila pia ukiangalia hata tukiamua kupaki basi hao wachezaji wa kupaki basi tunao?
Wachezaji wenyewe ndio hao kina Magwaya?Kwani kupaki basi si suala la kimfumo zaidi kuliko wachezaji? Baba ubaya yeye awaambie tu wachezaji wajipange hivi, wabutue mipira mbele au kwa Bruno au Garnacho. Wao wapige mashuti wajaribu kubahatisha goli [emoji16]
Kwa hii Ze Ganaz Bruno anakaa benchi vizuri tu akiendelea kujifunza kwanza pira biriani. Tukimuanzisha ataleta maujinga aliyofundishwa na baba ubaya huko unyumbuni.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hebu tema mate chini kwanza, yaani Kai ndie wa kumuweka benchi Bruno Fernándes?
Pale Arsenyau hakuna mchezaji yoyote wa kumuweka bench Captain Bruno, hata huyo Martin Ødegaard kwa Bruno lazima asubirie kwanza.
Epl yote mchezaji pekee anaeweza kumuweka bench Bruno ni KDB tu.
Hao hao kina Magwaya. Tena kipa weka yule wa bench. Maana Omama akiwa golini mpinzani anapaswa kutafuta shot on target tu, mengine Omama mwenyewe anatekeleza.Wachezaji wenyewe ndio hao kina Magwaya?
Mechi ikishakuwa nje ya mikono yako ujue utaishia kupiga ramli tu, Ingekuwa must win to qualify ningesema rahisi. Kwa case hii 95% wako nje.Amini mkuu hilo ni suala simple sana kwenye group lao. Group liko wazi mno. Bayern naona amefaidi kwa kutangulia kwa kushinda games ila kufungika anafungika. Nyumbu wakaze tu wampige bayern. Hao wengine wataumana sana jino kwa jino maana wote wanataka kufuzu na hatimae wataishia kutoka sare 😃
Mkuu Bruno ni mzuri sana kwny kumtafuta Rashidi Makame....akiipokea anaangalia Makame Yuko wapi anabutua...ila mpira wa utulivu Hana kabisa yule bwana mdgo...yule pale arsenal atasubiri mpk acheze Odegaard atokee aingie Smith Rowe atoke hlfu ndo aingie yy....kitu kingine kizuri kwake anajua sana kulalamika...kwa hlo atatusaidia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hebu tema mate chini kwanza, yaani Kai ndie wa kumuweka benchi Bruno Fernándes?
Pale Arsenyau hakuna mchezaji yoyote wa kumuweka bench Captain Bruno, hata huyo Martin Ødegaard kwa Bruno lazima asubirie kwanza.
Epl yote mchezaji pekee anaeweza kumuweka bench Bruno ni KDB tu.
Hzo Sasa Nongwa mkuu...hakuna mchezaji asiyekosea🤠🤠🤠...King Kai anaubonda mkubwa sana kwa sasaHata mimi alinishangaza kidogo ila kwa kuwa mimi ni mmoja wa wasiomkubali, sikushindwa kufuatilia na kuona makosa yake machache aliyofanya 🤣
Tuombe iwe hivyo mkuu. Hawa hatuwataki wala hatuwahitaji huku.Mechi ikishakuwa nje ya mikono yako ujue utaishia kupiga ramli tu, Ingekuwa must win to qualify ningesema rahisi. Kwa case hii 95% wako nje.
[emoji3][emoji3][emoji3]Hata mimi alinishangaza kidogo ila kwa kuwa mimi ni mmoja wa wasiomkubali, sikushindwa kufuatilia na kuona makosa yake machache aliyofanya [emoji1787]
Ongeza na Manyumbu hapo kwa Copenhagen. Wanaweza kupita kimiujiza. Tukikaza na tukiwa serious hao wote tunawapiga vizuri tu.Wapinzani tunaoweza kukutana nao round 16
Copenhagen
Napoli
Inter
Lazio
PSG
RB Leipzig
Porto
Utaratibu Ni ule ule tukutane WEMBLEY MWEZI MAY
Nyumbu ngumu kupita ,anatakiwa ampige Bayern halafu wengine wasareOngeza na Manyumbu hapo kwa Copenhagen. Wanaweza kupita kimiujiza. Tukikaza na tukiwa serious hao wote tunawapiga vizuri tu.
Nileteeni psg au interWapinzani tunaoweza kukutana nao round 16
Copenhagen
Napoli
Inter
Lazio
PSG
RB Leipzig
Porto
Utaratibu Ni ule ule tukutane WEMBLEY MWEZI MAY
Bayern atamzibua nyumbu kwa makusudi tuNyumbu ngumu kupita ,anatakiwa ampige Bayern halafu wengine wasare