Karibuni sana ndugu zetu saa 5 usiku kwa majira ya saa za afrika mashabiki mshuhudie namna tunavyotoa shule ya soka kwa wadogo zetu kutoka ufaransa...kile walichokifanya siku ile kule kwao leo watajuta kwnn walikifanya maana ule ulikuwa ni utovu wa nidhamu🤠🤠🤠...tutawadunda na tutawafundisha namna ya kucheza soka safi