Hii game akishinda Arsenal,basi uchawi upo kwenye soka.
Kwa kweli sioni timu ya kunyanyua kwapa mwisho wa msimu huu labda man utd,city na liverpool washushe daraja.
Hii game akishinda Arsenal,basi uchawi upo kwenye soka.
Kwa kweli sioni timu ya kunyanyua kwapa mwisho wa msimu huu labda man utd,city na liverpool washushe daraja.
Kesho tutashinda jukwaani kwenu kuwajazia nzi mbele ya Everton kuku nyny...mda wa kuungana ligi nzima na kuanza kutufanyia figisu kama mwaka jana ushafika ndugu zetu....tembo kakwea tawi rasmi🤠🤠🤠...tupo juu kudadeki