Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Brendford wamekuwa wabishi Sana

Hii game tutaimaliza kipindi Cha pili
 
Bado kuna mtu anataka Ramsdale aanze!

Mchezaji hata ukiwa na mali unaogopa kumpa mguuni, muda wote anatetemeka..
 
Wachezaji wana uchovu wa international break, naona Saliba na Saka wamepoa sana.
 
Hii game akishinda Arsenal,basi uchawi upo kwenye soka.
Kwa kweli sioni timu ya kunyanyua kwapa mwisho wa msimu huu labda man utd,city na liverpool washushe daraja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…