Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Huyu ni shabiki mwenzetu wa Arsenal, hajui chochote zaid ya kuwaangalia Newcastle wanapocheza na big team tu bas kwaiyo swali hilo hawezi kujibu
 
Kuna Mjadala jana niliukuta Twitter (X)
Trousard Vs Luis Diaz
 
Huyu jamaa analalamika sana et third choice wakati Trousard ni chaguo la 4 kwenye CF endapo timu nzima ikiwa fiti hakuna majeruhi maana yake machaguo ni
1- Jesus
2- Nketia
3- Kai
4- Trousard
Sasa yeye kulialia tu

Narudi tena kama timu nzima ikiwa fiti hakuna majeruhi hata mmoja
 
Ngomaa ianguke Kati hii, nipo tayari kuvumilia kelele za Kenge
 

Kwa umri wa miaka 137 una 0 UEFA champions league trophy.
Kwa umri wa miaka 20 una 0 EPL trophy .
Miaka 137 una 0 Europa league trophy .

With all transfers , players and money spending still tukihesabu tunakukuta una zaidi ya miongo miwili without EPL trophy , tunakuta unazaidi ya karne na miongo 3 bila UEFA trophy .

Zingatia maneno karne na miongo(DECADE & CENTURY) yaani upo trophyless
. Unapata wapi ujasiri wakuuliza kikosi ambacho kiko full fiti hapa .

Newcastle technically is a new club in term of both projects and financial stability so ni kama tuna miaka 2 or 3 ukianza ku count mambo ya trophies na mafanikio mengine.

First full season ya arteta amemaliza nafasi ya 8 , second full season amemaliza nafasi , third season ndo mkaambulia ubottler wa league nafasi ya pili with total spending ya £657.7 M

First full season ya Eddie howe (New Newcastle) ameshiriki UEFA kwa kushika nafasi ya 4 kitu ambacho arteta amekifanya ndani ya misimu 3 na huu ndo kwanza msimu wake wa 2 with total spending £250M .

Kuhusu mafanikio ya Newcastle niulize after 5 years na si sasa hii ni New Newcastle unataka tuanze kuongelea kipindi cha vichupi sio?
 
"Trace msimu ambao kikosi chako chote kilikua fit kisha taja kikombe mlichochukua"
 
"Trace msimu ambao kikosi chako chote kilikua fit kisha taja kikombe mlichochukua"
Ana majibu basi😀😀😀...yy anakwambia Huna Uefa...yy analo??...ana makombe mangapi ya epl...hata fa tu...yaani ni katimu flani ambako kanakimbiakimbia uwanjani
 
hamis 77 Ninyi fisi maji kaka zenu tunawaandalia mazingira mpambanie kombe mwaka huu , mlete kombe London .
Sasa mlivo vichwa maji muanze kupoteza mechi kindezi ndezi mwisho wa msimu muanze kuleta false hopes za kugombea top four badala ya kuwin taji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…