Labyrinth 84
JF-Expert Member
- Feb 13, 2017
- 1,322
- 3,960
Narudia tena bwana mdgo inaonekana huelewi...kwa aina ya mpira unayocheza hufiki popote...mpira wa kukimbiakimbia tu Haina nafasi...watarudi hao mabaunsa...wale wapiga viwiko watu na bdo mtaendelea kudundwa kwa sababu mna wachezaji average sana....hivi ile game ya jana kwli kabisa mngetulia mngeshindwa kupata matokeo....nyny mkishashikwa tu msikimbiekimbie kazi inakuwa imekwisha hapo....tunakumbushana tu mkirudi mnaenda kwa PSG kufanyiwa massage upya[emoji1783][emoji1783][emoji1783]...Ubaya Ubaya tu
Sasa injuries 5 ambazo watu 2 tu ndo first 11 ndo mnataja hapa et smith rowe [emoji23][emoji23].
Injuries tulizonazo Newcastle ni zina impact kubwa kwa timu kama unabisha ngoja nikufafunilie hapa
Isak na wilson hawa wawili wanacheza position 1 ambapo wote hawa hawapo na hakuna mchezaji yoyote wa arsenal ambae amewafikia magoli hawa wawili (7+6) .
Unaleta injuries za watu 5 against 12 injuries ! Miley ni third choice ameanza kutokana na first & second choice wote kuwa injuries.
Third choices walioanza game ya jana kutokana na first & second choice ya jana kutokuwepo ( Miley, Ritchie, Parkinson)
Results tumeipokea kwa mikono miwili kabisa na hatuna wasiwasi na position yetu hapo juu.
Unalalamikia injuries kwa vile vitoto vidogo viko maeneo ya mkiani huko....ndo maana tukasema nyny bdo watoto wadogo sana🤠🤠...leo mnashuka mpk wa nane huko chinichini...mkija kukutana na Chelsea nao watakuwa wanaitaka nafasi yao....Piga kelele tu lakini mpaka now tumeshakukanda na tumefanya mpaka kocha wako aonekane chizi kila muda anazugumzia VAR [emoji23].
Wewe mwenye mpira mzuriii umefika wapi kwa hiyo miaka 20 uliopiga mpira mzuriii? Tumecheza back to back na still kila game kuna injuries tena za watu muhimu kabisa .
Tuko comfortable maana tunaelewa kwanini tumepoteza game ya jana , hatujapoteza game kisa mpira wa kurukaruka tumepoteza game na tunajua imetokea kwasababu ya injuries na si kitu kingine kwamba tuna mpira sijuiii wakurukaruka, huo mpira wakurukaruka ndo ulikufanya uwe na shot on target 1 tena ile aliodaka pope kwa dharau kabisa
Hahaha ujue we jamaa ni miyeyushoKufungua Akaunti JF ni BURE
Piga spana piga spana😂😂Kufungua Akaunti JF ni BURE
Atasema walikuwa hawana hela za kutosha kusajili🤠🤠🤠...huwa namuambia wao bdo ni watoto wadogo kwa sababu nyng...mwaka jana ulikuwa msimu Bora kwao kwa sababu kuna timu zilikuwa zimejichokea...Liverkuku, Chelkenge, Spurs...Sasa hzi timu msimu huu zitataka nafasi zao...ndo maana tukichorachora tunaona Hawa watoto wadogo watamaliza ligi nafasi ya 9 huko chinichini...maana hata Aston Villa hawatamuweza kumtoa pale kwny nafasi yake....Sijapendezwa na tabia ya shabiki wa nyukesto Labyrinth 84 kukimbia maswali. 😂😂😂
Ninatoa wito kwa wanaArsenal wenzangu mnisaidie kumuuliza hili swali mpaka atakapolijibu.
"Trace msimu ambao kikosi chako chote kilikua fit kisha taja kikombe mlichochukua"
Wito wangu uwaguse mkorea hamis77 MalcolM XII zitto junior Raymanu KE Ulimakafu HENRY14 arsenal2004 Mjusi_kafiri BJB FC na kila shabiki wa Arsenal niliyemsahau.
Mpaka akijibu hili swali ndipo tutaendelea na mengine.
Ukiandika hivi inamkera sanaAtasema walikuwa hawana hela za kutosha kusajili🤠🤠🤠...huwa namuambia wao bdo ni watoto wadogo kwa sababu nyng...mwaka jana ulikuwa msimu Bora kwao kwa sababu kuna timu zilikuwa zimejichokea...Liverkuku, Chelkenge, Spurs...Sasa hzi timu msimu huu zitataka nafasi zao...ndo maana tukichorachora tunaona Hawa watoto wadogo watamaliza ligi nafasi ya 9 huko chinichini...maana hata Aston Villa hawatamuweza kumtoa pale kwny nafasi yake....
Umesomeka mkuu....Sijapendezwa na tabia ya shabiki wa nyukesto Labyrinth 84 kukimbia maswali. 😂😂😂
Ninatoa wito kwa wanaArsenal wenzangu mnisaidie kumuuliza hili swali mpaka atakapolijibu.
"Trace msimu ambao kikosi chako chote kilikua fit kisha taja kikombe mlichochukua"
Wito wangu uwaguse mkorea hamis77 MalcolM XII zitto junior Raymanu KE Ulimakafu HENRY14 arsenal2004 Mjusi_kafiri BJB FC na kila shabiki wa Arsenal niliyemsahau.
Mpaka akijibu hili swali ndipo tutaendelea na mengine.
La Spuds naona linatimia mdogo mdogo.Atasema walikuwa hawana hela za kutosha kusajili🤠🤠🤠...huwa namuambia wao bdo ni watoto wadogo kwa sababu nyng...mwaka jana ulikuwa msimu Bora kwao kwa sababu kuna timu zilikuwa zimejichokea...Liverkuku, Chelkenge, Spurs...Sasa hzi timu msimu huu zitataka nafasi zao...ndo maana tukichorachora tunaona Hawa watoto wadogo watamaliza ligi nafasi ya 9 huko chinichini...maana hata Aston Villa hawatamuweza kumtoa pale kwny nafasi yake....
Hawezi kujibuSijapendezwa na tabia ya shabiki wa nyukesto Labyrinth 84 kukimbia maswali. [emoji23][emoji23][emoji23]
Ninatoa wito kwa wanaArsenal wenzangu mnisaidie kumuuliza hili swali mpaka atakapolijibu.
"Trace msimu ambao kikosi chako chote kilikua fit kisha taja kikombe mlichochukua"
Wito wangu uwaguse mkorea hamis77 MalcolM XII zitto junior Raymanu KE Ulimakafu HENRY14 arsenal2004 Mjusi_kafiri BJB FC na kila shabiki wa Arsenal niliyemsahau.
Mpaka akijibu hili swali ndipo tutaendelea na mengine.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Daaah. Yaani unacompare beki aliyecheza mechi moja na striker aliyecheza mechi 8? [emoji23][emoji23][emoji23]
Oya umeona ametaka kuzichapaYan hadi captain timu wako anatoa utetez kwa maahabiki wao nusura wazichape et tuna injury nyingi .
Huyu hataki kuondoka kwakua anavizia move ya Barca, na anaona kabisa anaenda kuziba pengo la Busquet ndiyo maana hata msimu uliopita ilikua ishu.Zubi hataki kuondoka January
Arsenal na bench la ufundi kwa ujumla wameamua kuingia mazima kwa Luiz
Real Sociedad’s Martin Zubimendi is another player really appreciated by Mikel Arteta, and he looks perfect for their project.
But from what I’m hearing, the player is very happy at his current club and not thinking about moving at the moment. [@FabrizioRomano @caughtoffside]
Marefa watatu waliostaafu walisema lile siyo goli.FA wamesema watafanyia kazi malalamiko Ya VAR
KUNA WATU walisema Mikel atafungiwa [emoji1787][emoji1787]
Kitendo Cha Arsenal kutoa hadharani Statement yakumuunga Mkono Mikel ,kilionesha jinsi Klabu ipo nae
Halafu Arsenal waliorodhesha matukio Kama 10 hivi ambayo marefa na VAR walitukost
Marefa watatu waliostaafu walisema lile siyo goli.
Pundits niliowasikia isipokua Neville waliunga mkono alichosema Arteta.
Alan Shearer anashangaa ni kivipi Bruno hakugewa red tangu anampiga na kiwiko Jorginho
Wachezaji kama hawa wakishaflop ndo baadae wanakuja kukumbuka walikosea step.Zubi hataki kuondoka January