Arsenal (The Gunners) | Special Thread

In fact sisi msimu wetu utaanza January sasa hivi ni kumaintain kutoachwa points nyingi na wa kwanza.
 
Mchezaji wao jana alitaka kupigana na shabiki anajitetea et tuna injury nyingi, huu si ni utoto na kuwavunjia heshima wachezaji wengine waliopata nafasi ambao tuliambiwa wanakikosi kipana kuliko sisi.
 
Yan hadi captain timu wako anatoa utetez kwa maahabiki wao nusura wazichape et tuna injury nyingi .
 
Mchezaji wao jana alitaka kupigana na shabiki anajitetea et tuna injury nyingi, huu si ni utoto na kuwavunjia heshima wachezaji wengine waliopata nafasi ambao tuliambiwa wanakikosi kipana kuliko sisi.

Sasa injuries 5 ambazo watu 2 tu ndo first 11 ndo mnataja hapa et smith rowe
.

Injuries tulizonazo Newcastle ni zina impact kubwa kwa timu kama unabisha ngoja nikufafunilie hapa

Isak na wilson hawa wawili wanacheza position 1 ambapo wote hawa hawapo na hakuna mchezaji yoyote wa arsenal ambae amewafikia magoli hawa wawili (7+6) .

Unaleta injuries za watu 5 against 12 injuries ! Miley ni third choice ameanza kutokana na first & second choice wote kuwa injuries.

Third choices walioanza game ya jana kutokana na first & second choice ya jana kutokuwepo ( Miley, Ritchie, Parkinson)

Results tumeipokea kwa mikono miwili kabisa na hatuna wasiwasi na position yetu hapo juu.
 
Kenge huna uwezo wakumpiga msako Arsenal

Ulichofanikiwa ulipata chance you ,

Ile game zingeongezwa dakika 10 mlikuwa mfe chuma ya 3
Kenge ni wabishi sana bro. Si unajua Hawa ndiyo wale mpaka damu itoke? Niliwaonyesha ki graphic kilichoonyesha kuwa hata magoli ya dhidi yetu waliyafunga vipindi sisi ndiyo tunadominate mchezo. Yaani walibahatisha tu. Lakini waambie hivyo kama watakuelewa
 
Mkiambiwa nyny ni watoto wadogo muwe mnaelewa🤠🤠🤠...na bdo mje kucheza na viwete wenzetu kina Chelkenge na Spurs wawabonde...nilikuambia mechi 2 zijazo gepu litafunguka kwa point 7 na ishatokea....Sasa bdo nyngine ya kuwafata kina Fulham huko chinichini...Trippier analalamika Wana injuries nyingi kwani wale wanaocheza ni viwete🤠🤠...yaani Bournemouth mnashindwa kushikilia bomba hata mpate draw...wiki ilopita mlicheza na Manunu mkawaonea na kikosi chenu cha tatu sijui ukatutambia hmu...jana mmekutana na madongo janja kipa akawaokoa na fedheha ya kula Tano🤠🤠🤠...na bdo
 
Hao kina fulham ndo unaona watatufunga kama wewe tu ulishindwa saivi mnashinda kwenye page ya Newcastle kushangilia sisi kufungwa inaonekana lile goal lilipenya sana moyoni yaani huko insta false hopers mko wengi kweliii kwenye Newcastle page.

Wewe tulia ivyo ivyo uzuri international break mpaka imalizike baadhi ya player wataanza kuwa full fiti then tunaendelea tulipoiishia.
 
Narudia tena bwana mdgo inaonekana huelewi...kwa aina ya mpira unayocheza hufiki popote...mpira wa kukimbiakimbia tu Haina nafasi...watarudi hao mabaunsa...wale wapiga viwiko watu na bdo mtaendelea kudundwa kwa sababu mna wachezaji average sana....hivi ile game ya jana kwli kabisa mngetulia mngeshindwa kupata matokeo....nyny mkishashikwa tu msikimbiekimbie kazi inakuwa imekwisha hapo....tunakumbushana tu mkirudi mnaenda kwa PSG kufanyiwa massage upya🤠🤠🤠...Ubaya Ubaya tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…