Kwa mfano Hamis anasema jamaa anakava pengo la Martin lakini Martin angekua ameshamtest kipa ashajaribu kutoa assist, ashadrop kwa mid, kafanya dribbles na take ons za kutosha.
Nafikiri improvement yake ni kupunguza errors. Kocha anatoa maneno positive hoping yatamjenga na confidence