Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Haujajibu swali mkuu
Dadamlamayo lakini muandiko wa kiume. Nijue napangua hoja za jinsia gani
Usimjibu huyu ,naondoka na account yake sio muda

Hawa vichaa Wana stress za maisha ,wanakuja kumalizia humu
 
Saka naona ana nafasi ya kuanza ,Yupo na timu ,pia nketiah yupo na timu

Timu ile ile iliyomchakaza Sevilla ianze vile vile
Mid iwe na
. . . ........,................Fabio V. .....,...Rice.......... Kai
 
Manjesta wanaburuza mkia UCL

Newcastle wanaburuza mkia UCL

Kenge FC wapo nafasi ya 10


Wanataka tujadili lugha moja na Arsenal


Timu zenu Ni mbovu ,mkiona Arsenal inasifiwa kunyweni maji mengi


Narudi timu zenu Ni mbovu
 
Shabiki la unyumbuni linaumia kuona Arsenal inaongelewa vzr ,linataka tuiweke sentence moja na Arsenal


Yaani timu ina attaching Kama hii wanataka tuiseme sawa na Arsenal

Never labda nisiwepo humu

 
Kuhusu Kai nilishamaliza nimebaki kumpa sapoti tu.

Nilishasema strength yake n.k.

Hapo nimemjibu tu huyo jamaa. Wala sitafuti tena madhaifu
 
Bro nakuheshimu sana ila hapa unajipa false hopes kabisa
Kai hana improvement yoyote ktk position ya RCM,
yuko slow with the ball or without
hawezi hata kukaba effectively( just imagine una no 8 ambaye yuko poor defensively timu itaelemewa tu in mido)
Pass zake ziko very predictable ( he will always look for simple pass to pass N.B hapa tulitaka awe ana offer hata penetration pass, V- pass)
Inability to make dangerous movement/run( yupo yupo tu )

Hapana my arsenal deserve more quality attacks/defensive mido

Ukisema namchukia Kai unakosea mbona hatumchukii Rice Timber or Raya is so simple because they show quality/something on the pitch bro! Thats all
Mimi inaniuma sana my arsenal tulichoshwa sana na hawa average player its our time to have quality player allover
Just imagine hizo 65m tungempata Frenkie De Jong, Zubimendi, Kovacic, Tchoumen??

Kama mtanipiga kwa ishu ya Kai nipigieni tu ila msiniue .......
Arsenal is so big for Kai, wakati tunamsubiri awake tunazidi kujichelewesha.
 
Leta ushahidi lini Arsenal imewahi kuelemewa middle

Sio maneno matupu

Halafu unasema Kai no.8

Tutawaelewa kila siku Hadi lini ?

Kai anacheza nafasi zaidi ya 2 hapo Arsenal ,wewe unakariri namba 8 tu

Kai anaenda Leo mechi ya 3 au 4 atacheza RCM,


Naomba ushahidi lini Arsenal alielemewa kiungo kisa Kai

Nami nitakupa ushahidi Kai akiisaidia Arsenal Tena mechi ngumu hasa ikiwepo ya city na Chelsea

Mech ya Newcastle ndio alichafua Sana ,hata kocha kamsifia


Kuna mshabiki wa manjesta alikuwa anasema kiungo ya Kai Rice na Øde itavuja Sana na bla blaa kibao

Vs manjesta ikawekwa hiyo kiungo , ndan ya dk 90 walikuwa hawawez hata kupiga pass 5 kwenye hiyo Midfield
 
Mid iwe na
. . . ........,................Fabio V. .....,...Rice.......... Kai
Hii mid itadominatewa kirahisi. Unless kama hujawacheki Burnley wanavyocheza.

Fabio na Kai hakuna wa kuassist kukaba throughout the game.
 
Kai angekuwa hivo unavyodai asingecheza na kupata nafasi ,

Wewe kubali labda uelewa wako mdogo tu, usitake kulazimisha kuwa Kai Ni mchezaji wa ovyo

Hajafanya vzr Sana ,lakin tayari ameshaanza ku click

Halafu unataja majina tu Kova ,amefanya Nini hapo mancity


Kama hujui kwanini Arteta alitoa €65m kwa Kai hutajua Tena


Hao unaowataja wangeweza kukusaidia kutumika LCM,RCM na CF?

Mpaka msimu huu bado hatukuwa na proper RCM wakumsaidia Øde ,amejaribiwa Vieira kaonekana anafit zaidi LCM, Smith Rowe angalau alionekana anapaweza ,ila injury

Yaani thamani kwanza Ni kiraka ,wewe unakomaa tu Ni no.8
 
Huyo Ni ndugu yenu ,

Soon nasepa na hiyo account yake
Arsenyo ndio timu inayo ongoza kua na mashabiki wa hovyohovyo duniani, siyo Jf pekee hata ukitembelea blogs na forums za arsenyo huko duniani unakutana na comments kama za kina dada mla mayai mpaka unajiuliza hivi mashabiki wa hii team kweli wana wazazi?
 
Kuna rumours za Kai yupo sokoni January kwa 35M

Chelkenge wanachokipata sasa kwa Palmer ndicho walifikiri atakitoa Kai kipindi wanamsajili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…