ooh. sawa. asanteAlipelekwa kule game moja tu, weekend hii anachezesha EPL kama kawaida
Chelsea vs Man City...hyo refa ndo atasimamia show🤠🤠... Chelsea washaanza kusonyaooh. sawa. asante
Namkanda City broChelsea vs Man City...hyo refa ndo atasimamia show... Chelsea washaanza kusonya
Chelsea wameshapigwa kabla hata hawajaingia uwanjaniChelsea vs Man City...hyo refa ndo atasimamia show🤠🤠... Chelsea washaanza kusonya
Labda VAR kukiwa hamna ila kama ipo alf mpinzani wako ni City imekula kwakoNamkanda City bro
Arteta kapiga kwenye mshono na kasema hawezi kunyamaza ikiwa ataona maamuzi ya hovyo yakiendelea kufanyika. PGMOL inaweweseka tu hata kama wanakuja na mikwala yao, na ukitaka kugundua hilo angalia mechi ya Spurs Vs Chelsea juzi VAR almost katika kipindi cha kwanza imetumika mara tisa kuchunguza matukio uwanjani. PGMOL wapo corrupted. Richard Keys mtangazaji wa BeinSport anasema kipindi yupo SkySports alisikia watangazaji wawili wamepigiwa simu na PGMOL wakionywa kuhusu kuwakosoa Marefa na wakaambiwa wakumbuke nani anayewalipa mishahara.Online kuna comments zinasema Arsenal imeenda overboard kusupport maoni ya Arteta.
Lakini hawa watakua hawajui Arsenal ni miongoni mwa timu ambazo zimepokea misamaha mingi kutoka kwa PGMOL.
Liva kaomba mechi irudiwe Carragher akaona ni sawa Arteta anasema kilichotokea ni aibu Carragher anakuambia Arteta amekosea.
Mashabiki tunaidai consistency. Mpira ule ule ukiwa na Rashford ukasemwa umetoka.
Ni comedy
Kwani Man City hafungwi? Hajawahi kufungwa?Labda VAR kukiwa hamna ila kama ipo alf mpinzani wako ni City imekula kwako
Si kulialia mkuu. Kwanza tumeonewa sana na hawa watu ila ni muhimu kuwe na standards bora kwa ligi nzima na kwa timu zote. Kukiwa na fairness, kinachobakia ni burudani tu.Nyie kondoo punguzeni kulialia, hakuna siku VAR ilishawahi kuwafavour?, mlilalamika?
Nafikiri kamaanisha inconsistency ya maamuzi ya VAR ukimface city na siyo hili swali lakoKwani Man City hafungwi? Hajawahi kufungwa?
Waulize kwa nini hii haikua penalty wakikujibu nimekaa pale👉Nyie kondoo punguzeni kulialia, hakuna siku VAR ilishawahi kuwafavour?, mlilalamika?
Ishu ni kwamba hakuna ambae hajawahi kuonewa na VAR na pia hakuna ambaye hajawahi kutofaidika na maamuzi ya VAR, kumbuka wakat unafaidika kuna ambao waliumia pia. Kama unavyosema kuwe na fairness kw wote mana kuhujumiwa kunauma asikwambie mtu.Si kulialia mkuu. Kwanza tumeonewa sana na hawa watu ila ni muhimu kuwe na standards bora kwa ligi nzima na kwa timu zote. Kukiwa na fairness, kinachobakia ni burudani tu.
Sasa mkuu, hiki ndo wadau wanakipagania humu. Kuwe na CONSISTENCY kwenye maamuzi. Haiwezekani similar situation iwe na maamuzi tofauti.Waulize kwa nini hii haikua penalty wakikujibu nimekaa paleView attachment 2807978
Mabundi tumeweka kambi hapa siku ya leo, tupo na nyie mpk siku inaisha.View attachment 2807869
Ndiyo hivyo. Kuwe na fairness kila mahali ili watu waenjoy mpira, bila kujali ni timu gani. Sisi tumeonewa zaidi ya wengi, ila kinachotuokoa ni mara nyingi tunaupiga mwingi na kushinda licha ya dhulma. Ila hatuwezi kushinda licha ya dhulma kila wakati 😃😃Ishu ni kwamba hakuna ambae hajawahi kuonewa na VAR na pia hakuna ambaye hajawahi kutofaidika na maamuzi ya VAR, kumbuka wakat unafaidika kuna ambao waliumia pia. Kama unavyosema kuwe na fairness kw wote mana kuhujumiwa kunauma asikwambie mtu.