Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mpira ni mbinu. Hata kwenye maisha hatuwezi wote kutoboa kwa njia moja. Kila mtu ana namna yake ya kupata kinachomfaa. That's all, malengo yafikiwe tu
Lakini tusisahau kuwa mpira si vita, ni mchezo wa burudani watu wanalipia kuenjoy.

"Football should be an art" ~ Arsene wenger.
 
Lakini tusisahau kuwa mpira si vita, ni mchezo wa burudani watu wanalipia kuenjoy.

"Football should be an art" ~ Arsene wenger.
Unafikiri kupaki bus kama Diego Simeone ni rahisi. Kubaki kwenye defesnsive shape kunahitaji umakini wa hali ya juu mtu unapaki bus unafika final Champions leagu unafukiri ni kitu rahisi?

👉Kuziba space zote, staying in defensive shape kumnyima mpinzani asipige hata shot on target.
👉How do you not call this an art?. Au art kwako ni kupiga pass tu ili mradi usipoteze mpira
👉Manchester united panga pangua kila kocha akija lazima afate DNA ya direct football hiyo pia ni art
 
Elewa alichoandika hivi uchezaji wa jana wa Bruno g unaona ile ni art au kama vita? usijibu kama hukuangalia mechi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wingers za arsenal zilikuwa kila zikishika mpira.. wachezaji wa3 wa newcastle wanaenda kukaba.

eddie howe alifaulu kuzuia uchezaji wa arsenal kwa kiasi fulani.

ila pamoja na yote.. arteta inatakiwa asajili winger wakuwapa changamoto saka na martinelli ;saka kiwango kimeshuka.
 
Elewa alichoandika hivi uchezaji wa jana wa Bruno g unaona ile ni art au kama vita? usijibu kama hukuangalia mechi

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu jamaa nimemjibu amesema hafurahishwi na uchezaji wa Simeone, Mourinhi Eddie Howwe. Anapenda Pep, Arteta, Di zerbi sababu wanacheza mpira wa kuvutia. labda wewe hujamuelewa
 
So far so good, Arsenal ili tutoboe tunahitaji world class CF ambaye siyo injury prone ili tushinde makombe GJ majeraha kila siku anatuchelewesha nketiah he is on and off hana consistency zaidi Arsenal wasiwe wabahili Quantity na Quality inahitajika angalia city,madrid,bayern aiseee lazima uwe na watu pale mbele as CF wanaoweza kukupa matokeo consistently. Tuache utani,City ametawala Epl sana angalia quality aliyonayo kwenye squad yake tangu enzi za kina aguero leo wako na haland aisee we have to be serious kama tunahitaji makombe vunja kibubu leta wachezaji wa kuongeza quantity na quality.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijasoma maelezo yako yte nimeamua kukuambia kwnn Partey...kuna mechi ambazo unaweza kucheza pasi na wachezaji wako muhimu na bdo mkapata matokeo...sababu ni simple tu....viwango vya timu vinatofautiana...mfano huwezi kuwafananisha Aston Villa na Sheffield United...kwa sababu Wana quality tofauti....same na Newcastle na Luton Town labda....ndo maana nikasema kwa nature ya mechi ya jana a missing puzzle ilikuwa Partey.... Georginho ni rahisi sana kuwa bullied na ana pasi za nyuma nyng...he is not physical tofauti na Partey...jana kuna watu watasema Odegaard...lakini kwangu mm Havertz alikava vzuri kuliko kama Odegaard angekuwepo kwa sababu hawezi mpira wa nguvu...kiungo cha Newcastle ukitaka kucheza nacho uwe na nguvu kwanza lakini uweze kuficha mpira....ukifanya hayo mawili wanakuwa hawana threat kubwa....Sasa kipi hapo hakieleweki....hata uwe mzuri vipi kuna mechi ambazo utahitaji uwe na kikosi chako Bora Ili upate matokeo....mfano mzuri mechi ijayo na Burnley...hata uwe na kikosi cha kawaida unaweza kupata matokeo kwa sababu quality Yao sio kubwa....huelewi nn Sasa hapo mkuu🤠🤠🤠
 
Elewa alichoandika hivi uchezaji wa jana wa Bruno g unaona ile ni art au kama vita? usijibu kama hukuangalia mechi

Sent using Jamii Forums mobile app
Anajibu kishabiki zaidi....ila ukiangalia kimpira Bruno alitakiwa asimalize dk 90 ile mechi...alifanya mambo ya ajabu mule uwanjani ila wakawa wanakausha hata kujiridhisha kwny VAR hawakutaka....yule Forward mbeba vyuma mpk Kofi alimtandika Malgalhaes ila hata kadi hakupewa mwshoni kocha wake akaona amtoe maana anaweza akapata kadi....yaani walipanga kutufanyia Kila aina ya visa...mechi kama hzi ndo unawakumbuka watu kama kina Roy Keane na Vieira...ukimfanyizia mchezaji wake na yy anakuwinda mpk discipline inakuingia🤠🤠🤠....tunatakiwa tumpate Fofana halafu tumefundishe ngumi awe special kwajili ya kina Bruno maana inaonekana ndo watakuwa wanafanya vile tukikutana Kila siku
 
Tangu lini Kujaza watu kumi na moja ndani ya box nayo ikawa sanaa?
 
Mtu ambae hakutakiwa amalize mechi ni kai. Maamuzi yaliyofwata baada ya hapo ni kubalance mchezo.
 
Mtu ambae hakutakiwa amalize mechi ni kai. Maamuzi yaliyofwata baada ya hapo ni kubalance mchezo.
Unabalansi maamuzi ya scenario moja kwa matukio yte yaliosalia ya mchezo sio🤠🤠🤠....basi nimeelewa kumbe hatuongei kimpira tunaongea kishabiki Sasa....nisaidie mkuu ww ni shabiki wa timu gani nijue Ili siku yakiwakuta tuongee vzuri🤠🤠
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…