Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kweli

Usiwe na wasi wasi mkuu, the one who laughs last, laughs louder ... .... .. ndio mpira huo kuna kushinda na kufungwa, yes Manure wapinzani wetu wakubwa lakini ni point tatu tumekosa ... ... ... utachezesha kikosi ulichonacho. Carhill anaringa hataki kuchezea Arsenal sawa sawa na Mata tu, lazima upate mchezaji mzuri anayetaka kuchezea timu. Angalia Tevez hataki kuchezea Mancs thats how it goes ......

BTW Wenger alijua kikosi hiki hawawezi kuishinda Manure ... ... believe me. timu ya leo bado changa sana ukiondoa kipa, RSV, Walcott na Arshavin.
 
Bahasha za mwaka huu zimekuja na mtindo mpya wa red cards kwa wachezaji wa Arsenal .... .... ... tena nyingine za mezani ... .... ... Gervino red card ridiculous, Song FA meeting ... ..... leo Jenkinson then unafikiri nini?


Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
In Wenger you gonna bust!!
 
Hakuna cha kikosi cha pili wala nini. Kwani sio wachezaji wenu hao au?

Lini utahamia Mancs? Nimemuona Mungiki Brother kahamia kule khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee mnapenda vya bure nyie.
 
Naona Mods mmenifanyie mtima nyongo...for the past two hrs nashindwa ku post kitu...najua n hujuma ya Wacha boy akifwatana na Mbu na AW.....sawa tu lakn.

Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee muulize mzee wa udaku yeye ndie mod hapa au hufahamu?
 
You feel humiliated when you concede eight goals,But I'm Gunner & I will be a Gunner despite my health concern!
 
ili tuwe imara mabadiliko makubwa yanatakiwa katika chama letu haya mambo ya mazoea kila weekend za match tutakuwa wanyonge
 
Acha kulialia kwamba hiyo iliyofungwa sio Arsenal. Kubali kiume kwamba mmefungwa baada ya kuzidiwa. Wachezaji waliopangwa ni wa Arsenal FC, na timu iliyobakwa ni Arsenal FC, nukta.
 

Duuh mkuu kubali kiume leo mmefungwa hayo mambo timu changa ni kosa la manager wako,sio kosa letu nyie hamjafanya usajili sio shida yetu nyie wachezaji wenu wapo majeruhi.
Manager na washika dau wengine ndio wanamakosa kwenye history wanaandika
MAN UTD 8- 2 ARSENAL hayo ya timu changa utabaki nayo mwenyewe kheeeeeeeeeeeeeeeeeekeeeeeeeeeeeeeeeh
 
Haya ni maneno ambayo niliyasema baada ya game ya kwanza na Newcastle na kuonekana msaliti,mropokaji,namchukia Wenger n.k...

Leo sisemi mengi zaidi ya kuwapongeza sana Man Utd......Hongereni sana watani...

Man City leo wamempiga Spurs 5.....Naomba Wenger asajili kabla hatujakutana na hawa watu na kukumbana na gharika nyingine.....

Arsenal.........Together We Stand


 
Last edited by a moderator:

Hebu jiridhisheni kidogo.........

Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Last edited by a moderator:
Wacha boy, Kweli,Mbu, BBK, Michelle, Questt, AW,Balantanda...et al...hakyanan tena m nawapa poole toka mtiman kwangu..i can sense hw u guys feel now...aiseee..naneeeee?, yaan, moja, mbili, tatu, nne, tano, sita, saba na naneeeeee!kwel leo mmevamia meli ya wagiriki na waitaliano..kilichowapata umo ndan m jukwaa la wakubwa...

Aiiiiiii! khekheeeeeeeee!
 
Wacha boy...fanya kaz yako ya Itikad na uenez ipasavyo....in Winga we trust, wasikuzingu awa, bao nane kitu gan bana...safar ii mnabeba treble mbn...

Afu wee Peasant Mkulima acha uchokoz, unaleta ufioso wa mpunga, unga, bahasha hapa..kwanza jukwaa sio lako ili..embu tokaaaa!
 

khe khe keeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee timu tuliyopanga ni sawa na timu mliyopanga mlipocheza na Marseille au wewe hupendi? Wacha fujo nenda kalale wenzio huku Alaska bado jua lipo.
 
Kuna msiba hapa halafu mnapiga kelele nendeni kwenye harusi yenu basi! khe khe ke khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…