Ndio tuingie sokoniJorginho mzito kutrace back na Kai ni tatizo jingine.
Unless timu ipossess muda wote la sivyo Tomi ana kazi nzito na Rice hatotakiwa kujisahau kusogea mbele.
Shot taker ni Trossard kwa hawa waliopo ila yupo benchi.
Kwa maoni yangu this is a very risk line up kwa hapo kati.
TrueJorginho mzito kutrace back na Kai ni tatizo jingine.
Unless timu ipossess muda wote la sivyo Tomi ana kazi nzito na Rice hatotakiwa kujisahau kusogea mbele.
Shot taker ni Trossard kwa hawa waliopo ila yupo benchi.
Kwa maoni yangu this is a very risk line up kwa hapo kati.
Ode anashida gani?Jorginho mzito kutrace back na Kai ni tatizo jingine.
Unless timu ipossess muda wote la sivyo Tomi ana kazi nzito na Rice hatotakiwa kujisahau kusogea mbele.
Shot taker ni Trossard kwa hawa waliopo ila yupo benchi.
Kwa maoni yangu this is a very risk line up kwa hapo kati.
Ayupo fitOde anashida gani?
An shida ya nyongaOde anashida gani?
Hatutoboi.....Jorginho mzito kutrace back na Kai ni tatizo jingine.
Unless timu ipossess muda wote la sivyo Tomi ana kazi nzito na Rice hatotakiwa kujisahau kusogea mbele.
Shot taker ni Trossard kwa hawa waliopo ila yupo benchi.
Kwa maoni yangu this is a very risk line up kwa hapo kati.
Daaah
Unaweza ukadhani nje wana wachezaji wa maana sanaHii timu washabiki wake mnashida kweli kweli sasa mnacomplain kupangwa KAI na JOG mnawachezaji gani kwenye benchi ambao mnaona wanafaa kupangwa???
Mnalalamika utasema mnabenchi la maana kumbe uozo tu.
Not all hope is lost.Hatutoboi.....
Jamaa mnapanik mapema kweli, au mmeanza kuishabikia arsenal mwaka jana?Kai na Joginho ndani biashara imeishia hapa hatuwezi kushinda hii game tunakufa mapema,Arteta mapenzi yake binafsi na hao watu 2 anayaleta kazini.
Kwa football ya Newcastle huku una Kai na Jorginho ni Mungu atusaidie hata wewe moyoni unajua what will happen may be Mungu aamue awe upande wetu but hadi sasa hata wewe unaujua ukweliJamaa mnapanik mapema kweli, au mmeanza kuishabikia arsenal mwaka jana?