Halafu hili ndio kombe lenu hili ,sijui mtabeba kombe gani kama msipokaza kwenye hili kombe la mbuzi ambalo huwa linawaokoaKufungwa sio tatizo but 3 Nil vs West Ham?kuna fans watakaosema hili ni kombe la mbuzi OK [emoji106]
Georginho na Zinchenko hii mechi ndo wametuchomesha...hawajui kukaba kabisa na hawana energy kabisa...ni sawa na ile mechi ya Sevilla wangeanza pia tusingeweza kupata matokeo...Arteta anajifanya mjuaji sana.. sasa afurahie matunda ya kudharau mechi.
Habari kubwa ni sisi kudundwa...Manunu haishtui kusikia wamefungwa tena sikuhzi hata kama wanacheza na gwambinaNaona wenzetu Man utd wameona watuige.
Dakika 61 wameshakula chuma 3 bila ππ
Leo Kocha amezingua kupanga kikosi chakeHabari kubwa ni sisi kudundwa...Manunu haishtui kusikia wamefungwa tena sikuhzi hata kama wanacheza na gwambina