Revocatus junior 93
Senior Member
- Oct 14, 2016
- 169
- 329
Lete ushahidi usihukumu kama huna uhakika na maneno yako.Yule anafirwa sio anafira, yule marinda hana ndio mana wakamtimua, yeye na ode dugu moja. Au mnateteana?
Hao ndio wanatoa pesa nyingi
Mfano pale Emirates
Mabango ya Emirates,Adidas ndio yanaonekana Sana yakifuatiwa na Visit Rwanda
Kuna jedwari nimelikosa ungeona ,Wanaweka idadi Adidas ,Fly Emirates, Visit Rwanda wanaonekana Sana ,unakuta kwa mechi Adidas, Emirates na Visit Rwanda wanaonekana pale uwanjani Mara 10-15 ,wanafatiwa na wengine wadogo wadogo
Nadhani hivoEmirates pays £50million per season while Rwanda pays £10m per season
Nadhani hivo
Wasaudi wakirudi kumtaka January asepe mazima anaumiaje na hachezi Partey?players wa kiafrica kwa kudanganya umri wanaongoza sana anakula salary ya bure tu huyu ,yes ana kipaji but kwa mtindo huu wa kuplay 5 games then another incoming 5 games unakuwa nje na tunaitaka EPL trophyThomas Partey is out for 4-6 weeks, per source.
Arsenal hope to have him back for the congested December period, including the trip to Anfield.View attachment 2799509
Fabrizio sometimes vilabu vinamtumia kupandisha bei za wachezaji.FabrizioRomano:
"Ivan Toney anathaminiwa sana na Arsenal, hiyo ni hakika. Ndivyo ilivyo kwa Chelsea, kwa hivyo nadhani mbio ziko wazi kabisa, hakuna kilichoamuliwa bado, kwa hivyo vilabu vingine vinaweza kujiunga na mbio au kutoa zabuni. Hakuna kilichokubaliwa na Brentford, kwa hivyo ningeweka hali hiyo wazi.
"Kwa Arsenal, itakuwa muhimu kuona jinsi wanavyofanya mwezi Desemba, jinsi wanavyofanya katika jedwali la Ligi Kuu, jinsi wanavyofanya katika kundi lao la Ligi ya Mabingwa ... kwa sasa hakuna uamuzi juu ya nini cha kufanya. Januari.
"Wanajadiliana ndani kama kawaida, lakini tutaona kitakachotokea kwa sababu Ivan Toney hatakuwa nafuu - kutokana na kile nilichoambiwa anaweza kugharimu angalau pauni milioni 65, na hivyo kwa sasa Arsenal wanataka kuchukua muda wa kuamua kama huyu ndiye mchezaji wanayemtaka kweli."
[Substack, @caughtoffside] #
FabrizioRomano:

Kuna dalili naiona hatutamsajili Toney ,Fabrizio sometimes vilabu vinamtumia kupandisha bei za wachezaji.
Alifanya hivyo kwenye dili la Mudryk, Caicedo na hata Rice.
Tukiingia kichwa kichwa hapa ni either tupasuke sisi au Chelsea.
Tena kwa mchezaji ambaye atahitaji fitness ,£65m is too much, we better continue to groom Nketiah; give him enough game time, after one season he will be valued over and above Ivan
Anaweza Sajiliwa kama tu Nketiah atauzwa, kwa maana tutakuwa na depth lets say Sesko & Toney, binafsi kwangu namuona Jesus as a RW asaidiane na Saka na alishaonesha anaweza hilo kwenye mechi dhidi ya Man city.Kuna dalili naiona hatutamsajili Toney ,
Nimeona Tetes hasa za yule CF wa Fayernood Ni mdogo ,pia nimeona za Sesko
Ivan Toney kukaa nje Sana halafu tukatoe £65m sio rahis
Nketiah alelewe huku kuna striker mwingine wa kutoa magoli kama tunahitaji trophies£65m is too much, we better continue to groom Nketiah; give him enough game time, after one season he will be valued over and above Ivan