Guacamole
JF-Expert Member
- Mar 19, 2019
- 6,080
- 16,052
Mchezaji haangaliwi YouTube coz kuna mengi huonyeshwi kama kakosea au kafanya vizuri.Kwa upande wangu huyu Zubimendi sijawahi kumuelewa kabisa tangu tunahusishwa naye msimu uliopita. Kwa hizi clips za YouTube anaonekana mchezaji wa kawaida labda nitafute mechi ya sociedad nimuone vizuri lhuenda akanishawishi
Wachezaji ambao nahisi Wana uwezo wa kutupa anachotupa Party ni Youssef Fofana na Andre wa fluminense
Kosa hilo hilo ndio wanafanya matajiri wa Chelsea, wanaangalia mchezaji YouTube kisha ndo wanaenda kumsajili.
Mimi wakati tunahusishwa na Declan Rice, niliingia YouTube kuangalia clip zake, kisha nikaangalia na clip za Moises Caicedo.. Mwisho nikajiuliza hii scout ya Arsenal ina akili kweli kutaka kutoa £100 mil kwa kiungo wa kiingereza ambae havutii hata YouTube? 🤔
The rest unajua..