arsenal2004
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 2,328
- 4,315
Unajibishana na mtu ambaye kiwanja Chao cha nyumbani ni kama kiwanja chetu cha mazoezi...kila tukienda tunaondoka points...sasa hyo ni wa kupigizana naye kelele...bora Flano aje kujaza nzi hmu sio hyuUsijilinganishe na Arsenal ,tayari Nina kikombe kabatini ,au hujui hilo
Wewe unagombea kushuka daraja ,hata kucheza conference huwezi kupata hiyo nafasi
Kwa ratiba yenu ilivo baada ya mechi 8 mtakuwa mnapambana na kina Luton Nani abaki kwenye Ligi
Nakushangaa unabwabwaja humu
Weekend hii tu ukijitahid sana Sare View attachment 2793780
🎷🎷Masingeli wamempenda wenyeweeMc anawaambia mikondoo yake Mardid na Bayern hamna kitu, huku kwenye ma group yao wamechukua point zote 9. Huku Arsenal yenye kitu ina point 6, mkiitwa mazwazwa mtakataa
Rasmi Ajax linaenda kuwa tawi letuAlbert Stuivenberg to resurrect Ajax back from the dead.
Farewell AirPod Albert
Who will replace him?View attachment 2793768
Tumchukue ten hag as assistant aje kusaidia arsenal ya maziwa, tende, asali na urojoAlbert Stuivenberg to resurrect Ajax back from the dead.
Farewell AirPod Albert
Who will replace him?View attachment 2793768
Huyu jamaa shida nini,tumuulize shemeji usikute bwana mdogo anaendekeza kuchovya saana.Gabriel Jesus to undergo a scan today as Arsenal seek to learn the extent of his hamstring injury.
The Brazilian said after the game that he was confident the injury was nothing serious but he is a doubt for Saturday’s game. [@sr_collings] #afc
Watuletee Carzola hapoAlbert Stuivenberg to resurrect Ajax back from the dead.
Farewell AirPod Albert
Who will replace him?View attachment 2793768
Umeona mbali SanaTumchukue ten hag as assistant aje kusaidia arsenal ya maziwa, tende, asali na urojo
Ten hag aje kupigwa pindi, akae sawa kichwani
Mapema tu ,ngoja tuone japo sipend aondoke mtu muhimu sanaRasmi Ajax linaenda kuwa tawi letu
Itakua ni kupiga simu moja tu
BIG 6 inaundwa na klabu za Manchester United & City, Arsenal, Liverpool, Tottenham Hotspur na ChelseaUpo nafasi ya juu lakini mwisho wa msimu wote tunatoka patupu. Unawakimbia mikondoo yako,unaicha zikihangaika.
Kuna kila dalili naweza kumaliza juu yako.
Nunez yupi bro?Ila january inabidi tuingie sokoni
-Nikiangalie utitiri wa game za EPL tunaitaji backup kuendelea kupambana.
-Jesus Saka Partey ni watu muhimu, wakipata pancha ya muda mrefu inaweza tutoa kwenye reli na currently fitness yao sio ya uhakika.
-Tuna vimba sasa hivi sababu Almost key player wote wapo Available.
-Tunaitaji backup Toney na Nunez na mtu wa dimba mmoja.
Sorry Pedro NetoNunez yupi bro?
Ok...huyo sawa.Sorry Pedro Neto
Umepiga kwenye mshonoBIG 6 inaundwa na klabu za Manchester United & City, Arsenal, Liverpool, Tottenham Hotspur na Chelsea
Arsenal kashacheza na tim nne za BIG 6 na hajapoteza mchezo dhid yao. Mechi ya BIG 6 imebaki ni Liverpool pekee ambaye ni mkombozi wenu wa pekee kuja kujaribu kumfunga Arsenal ambaye hajapoteza mchezo. Ikumbukwe, Arsenal ndio wababe pekee wanaoweza kucheza msimu mzima bila kufungwa na yoyote hapo Uingereza/ England UNABISHA? NAJUA UTADAKIA UEFA KANA KWAMBA EPL NI UEFA
Arsenal ndio 'mbishi' anayeweza kutoa 'visago' msimu wote na sehemu ya LOOSE ikabaki 0. Kama kuna 'kenge' anabisha aweke picha ya kombe la dhahabu likinyanyuliwa na klabu yake
Narejea, Arsenal ndio mwenye pumzi ya kukaza hivihivi bila kupoteza msimu mzima kwasababu yeye pekeake ndie kashafanya hii rekodi
Kingine, Man City hajacheza na Tottenham, Liverpool, Chelsea, Man Utd
Halafu Liverpool hajacheza na Arsenal, Man Utd, Man City, Chelsea
Pia Chelsea bado kuingiza marasta kukamia dhidi ya Man Utd, Man City, Tottenham, Liverpool
Manchester United nae hajacheza na Liverpool, Man City, Chelsea
Kwahiyo hamjacheza nyie kwa nyiehapo mtajuana wenyewe mkipenda mdroo/ mtoke sare au mmojawenu awe mteja
MTAJUA HAMJUI, WOTE MJE MHAMIE KWA MKOMBOZI WENU LIVERPOOL AWAFUTIE MACHUNGU KWA KUTOMFUNGA ARSENAL
Sorry Pedro Neto
First round Chelsea vs Liverpool tyri...Umepiga kwenye mshono
Huwa wanajisahau Sana hizi kenge