Hao Ni manjesta na kenge fc hawajui loloteWatakuja kukushambulia.
Ode anahitaji mipira mingi ,anamkosa Parteypt 3 muhimu ,saka na ode sielewi kimewapata nini.. form imeshuka na hawapo fit kiujumla!
Leo kakosea wapiRaya ni pazia. Makosa mengi sana.
Haya ndio matokeo ya msimu huu Hadi SasaSawa tumeshinda ila arteta anajikaanga kwa mafuta yake mwenyewe
Leo kakosea wapi
Umeangalia mpira gani
Hivi wenzetu mmeangalia mpira huu au mwingine?
Kazi aliyofanya Raya Leo unasema kuna makosa
Bado najiuliza hii fanbase ya Sasa inatokea wapi