Hawa ni kondoo, wazee wa ndoto nyevu.Wakuu, njoeni basi mtuonyeshe jinsi gani mnamchapa Sevilla leo.
Mtueleze jinsi gani mtawa-overload, mtafanya high pressing, how many tackles you are going to win, aerial duels, vile Kai na Jesus watakavyo-interchange position n.k.
Du eti nyevuHawa ni kondoo, wazee wa ndoto nyevu.
si ndiyo maana ya 'mishit'. uki google 'mishit cross', picha hiyo hiyo ya mudi inakujaCha muhimu amefunga goli, sio penalt kama ya mwenetu Kai😂😂 halafu ile krosi angalia alitumia upande gani wa kiatu ndio utajua hujui.
Sasa tuseme sisi ya nini wakati wewe mwenyewe umeshamaliza kila kitu. Hayo uliyosema ndiyo yatakayo wakuta SevillaWakuu, njoeni basi mtuonyeshe jinsi gani mnamchapa Sevilla leo.
Mtueleze jinsi gani mtawa-overload, mtafanya high pressing, how many tackles you are going to win, aerial duels, vile Kai na Jesus watakavyo-interchange position n.k.
Hawa ndugu zetu unajaribu kuwaza kama wangebahatisha wakatufunga sijui ingekuwaje aisee🤠🤠🤠..maana draw tu hivi ila huyu msela toka jana anatujazia nzi tu humu na mapicha yakesi ndiyo maana ya 'mishit'. uki google 'mishit cross', picha hiyo hiyo ya mudi inakuja
Hiyo draw waliyopata kiukweli ni ushindi mkubwa sana kwao na kiukweli ni hasara kubwa sana kwetu. Mimi hiyo game nimeihesabia kama tumefunwa tu na nina hasira sana Arteta kwa uzembe aliyoufanya kupoteza hiyo game.Hawa ndugu zetu unajaribu kuwaza kama wangebahatisha wakatufunga sijui ingekuwaje aisee🤠🤠🤠..maana draw tu hivi ila huyu msela toka jana anatujazia nzi tu humu na mapicha yake
Hiyo drwa waliyopata kiukweli ni ushindi mkubwa sana kwao na kiukweli ni hasara kubwa sana kwetu. Mimi hiyo game nimeihesabia kama tumefunwa tu na nina hasira sana Arteta kwa uzembe aliyoufanya kupoteza hiyo game.
Msimu huu naona tutapata taabu kiasi. tunahitaji kuwa wakatili zaidi haswa katika kufunga magoliNa sio hio game mmoja tu, kwa akili ya Arteta naimani kuna games nyingine nyingi tu mtazipoteza kwa uzembe huohuo
Ile Mentality ya mid table team hapo Arsenyau haiwezi kuisha kwenye hio Academy yenu. View attachment 2791197
Arteta kafanya uzembe gani acha kumpandikiza ubaya baba wa watu, alizidiwa mbinu. Nipe kosa la Arteta moja tu?Hiyo draw waliyopata kiukweli ni ushindi mkubwa sana kwao na kiukweli ni hasara kubwa sana kwetu. Mimi hiyo game nimeihesabia kama tumefunwa tu na nina hasira sana Arteta kwa uzembe aliyoufanya kupoteza hiyo game.
Mudi alikuwa anataka kupiga cross akakosea ila bahati nzuri akafunga...ila humu wangetamba utadhani alifunga kwa kujaribu kufunga na kumfanya aonekani naye mchezaji,Mbunge na Chelkenge nililikosa kulicheki aisee. Leo Sevilla tunamnywa supu vizuri kabisa. Ila tushukuru game iliisha sare, maana hii ya mudi kutufunga ingekua ndo nyimbo wiki nzima humu.
Mudi alikuwa anataka kupiga cross akakosea ila bahati nzuri akafunga...ila humu wangetamba utadhani alifunga kwa kujaribu kufunga na kumfanya aonekani naye mchezaji,
Labda hujanielewa. Arteta alipaswa kushinda hiyo game kwa namna yoyote ile. ingawa kimbinu hamis77 nadhani alishaleta graphic ya kuonyesha kuwa actually kimbinu chelsea hawakuwazidi arsenalArteta kafanya uzembe gani acha kumpandikiza ubaya baba wa watu, alizidiwa mbinu. Nipe kosa la Arteta moja tu?
Usiniambie hakumpanga Partey, ina maana bila partey Ars888 haiwezi kupata matokeo??
Ukisema ashinde kinamna yoyote labda alitakiwa afanye nini? Unafikiri yeye Arteta hakutaka kushinda?Labda hujanielewa. Arteta alipaswa kushinda hiyo game kwa namna yoyote ile. ingawa kimbinu hamis77 nadhani alishaleta graphic ya kuonyesha kuwa actually kimbinu chelsea hawakuwazidi arsenal
Hawatakuelewa bro. Ukiwaambia watu Arsenal haitizamwi kwa sawa na timu zingine bali kwa kionevu zaidi utaonekana unalalamika kwa kukosa ushindi au timu yako haijaperform unataka ushindi wa mezani. Inajulikana kabisa kwamba pale timu zinigine wanapotembea, Arsenal inapaswa kukimbia, na pale wengine wanapokimbia, Arsenal inapaswa kuruka.Timu mbili zimeombwa sana msamaha na PGMOL msimu huu Arsenal na Brighton.
Baada ya mechi dhidi ya Chelsea Arsenal inatarajiwa kuombwa tena msamaha kutokana na kipa wa Chelsea alichofanya kwa Jesus na penati ya Saliba kuonekana haikua fair.
Agenda all over.
Field tilt haikuonyesha mchezo umechezwa zaidi kwenye half ya chelsea? possession haikuwa juu kwa arsenal? tulikuwa wajinga kwa kutocreate chances though. Na kipa wenu namtetea kidogo maana kuna watu wawili wangeweza kupokea ile pass yake sema walikuwa wachovu na Rice alikuwa sharp kuuwahi ule mpira na kutumia akili kushoot. Bahati nzuri mpira uliingia golini ila ungeweza kwenda nje pia. Goli la kujaribu, tofauti na goli la kubahatisha la MudiUkisema ashinde kinamna yoyote labda alitakiwa afanye nini? Unafikiri yeye Arteta hakutaka kushinda?
Halafu huyo Masingeli ndio huwa anawaponza kw hayo magrafu yake. haya atupe na magrafu ya Sevila mapema tujue.
Ile game ilikua zaid upande wa chelsea mpk kipa alipowarudsha mchezoni. Ingekua ni City mngeshakula 5, na magrafu yenu yangesomama hivyo hivyo.
J2 hii vipara wawili wanakutana🤠🤠...mmoja ana ndonga kama ya baba Ubaya...Sasa tunataka kuona ni kipara gani siku hiyo atakuwa ana akili kumzidi mwenzakeNa sio hio game mmoja tu, kwa akili ya Arteta naimani kuna games nyingine nyingi tu mtazipoteza kwa uzembe huohuo
Ile Mentality ya mid table team hapo Arsenyau haiwezi kuisha kwenye hio Academy yenu. View attachment 2791197