Hii wiki ni ya mpira mwanzo mwsho....kuanzia leo mpk j2....na tunawakumbusha ndugu zetu Manunu....j2 tunataka kuona kama wameanza ligi rasmi kama wanavyojitapa...
Haya ndio makombe yenu, wajinga sana nyinyi vijana😅😅😅Hizi Ni Standard ambazo sisi tunaona Saka hakuwa vzr ,Lakini ona namba alizoweka
️ |Bukayo Saka’s vs Chelsea, according to @Squawka.
Most duels won (10)
Most chances created (3)
Most take-ons completed (3)
Most tackles (3)
Most fouls won (3)
Most fouls conceded (3)
Most interceptions (2)
Assists (1)
INFLUENTIAL!
Mm nimewapa taarifa ndugu zetu wa Manunu...j2 tutakuwa ndugu watazamaji kuona Man City mnamfungaje...hizi kauli zingine ni hasira za mkizi tuHaya ndio makombe yenu, wajinga sana nyinyi vijana😅😅😅
Unataka kumaanisha kuwa kwa sababu Barcelona alipigwa 4 na liverpool basi Messi hamna kitu?Siku Milan anapigwa 5 na Inter Leao alikua wapi? 😂
Jana wanapigwa 1 alikuepo?
Hivi kwanini haanzi timu ya taifa 😁
Akili za Arteta hizo, huyo ataingia kwenye mfumo moja kwa moja? Partey wangemuacha japo kwa seasons 2 hivi.Arsenal are hoping to sell Ghana midfielder Thomas Partey, 30, and Italy international Jorginho, 31, as they attempt to bring in Fluminense's 22-year-old Brazil international Andre. (Football Insider)
Nitajie game ambayo Barcelona anapigwa 4 huku Messi yupo.Unataka kumaanisha kuwa kwa sababu Barcelona alipigwa 4 na liverpool basi Messi hamna kitu?
Leao hachezi mwenyewe uwanjani.
Nabariki kwa mikono yote miwiliArsenal are hoping to sell Ghana midfielder Thomas Partey, 30, and Italy international Jorginho, 31, as they attempt to bring in Fluminense's 22-year-old Brazil international Andre. (Football Insider)
Ndio nataka kujua kwa nn hamkucheza kw standard yenu?Wewe Kenge ,Kuna standard Arsenal tumejiwekea ,ile mechi kwa Standard yetu tulicheza ovyo, pamoja na kuwapakisha Basi hasa 2nd half
View attachment 2790129View attachment 2790130View attachment 2790131
Ninyi Kenge WA Emirates , mtapigwa kama ngoma na Sevilla , ni mwendo wa kuchakazwa ,ngoja muone show keshoFabio Vieira back!
Gabriel Martinelli Champions League debut tomorrow
The Big Boys training ahead of our clash with Sevilla tomorrowView attachment 2790284View attachment 2790285View attachment 2790286View attachment 2790288View attachment 2790289View attachment 2790290View attachment 2790291
Si nimekutajia hiyo mechi au?Nitajie game ambayo Barcelona anapigwa 4 huku Messi yupo.
Nitakuonyesha rekodi za mechi 10 kabla ya hiyo mechi.
Na wewe ulete za Leao.
Duh kweli maisha magumu.Si nimekutajia hiyo mechi au?
Na sina nafasi ya kuanza kufatilia statistics na kuzileta hapa kukuaminisha ila kama unaona Leao hamna kitu basi pole sana.
Inatokeaga uzuri hatukufungwaNdio nataka kujua kwa nn hamkucheza kw standard yenu?
KWa nini martinel hakupangwa? aliumia mazoezini au?
hamjafungwa ili kufungwa na Mudryk inauma eeh? Bora mngefungwa kuliko kufungwa na kijana aliewakataa.Inatokeaga uzuri hatukufungwa
Tutapigwa kama mbwa tukiingia hiviNingependa kuona ESR game ya kesho aanze kwenye RCM, DM aachiwe Rice/Partey
Tomiyasu apige LB, kiwior LCB
Sevila unawachukuliajeNingependa kuona ESR game ya kesho aanze kwenye RCM, DM aachiwe Rice/Partey
Tomiyasu apige LB, kiwior LCB