Mistake za Sanchez kama Raya naye alivyofanya , sema game imekuwa fresh sana ,na mpira ndio unatakiwa uwe hivi mperapera mwanzo mwisho ,hamna kupaki basi ,bonge moja la mechi ,kama tunavyocheza na Liverpool
Asenyeto nadhani mmejifunza kitu ,kidomo domo kipungue na dharau ziishe
Chances nyingi sana tumepata tungekuwa na makali pale mbele mlikuwa mnatoboka mkono kabisa
Mtuheshimu kaka zenu The blues