Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mawazo yangu yananambia Arteta anaweza anza na Jorginho, itategemea na kuwahi na fitness ya Partey.

But I'd always choose Partey over Jorginho.

Arteta pia anaweza akamuanzisha Jorginho kutokana na uhusiano wake na Chelsea.

So tutemee kuanza kwa either Kai au Jorginho.
 
Ukiwa mgeni hapa JF halafu bahati mbaya ukaingia kwenye hili jukwaa la ARSENAL ukamsikiliza hamis77 na wafuasi wake unaweza kudhani wako serious sana na ubingwa msimu huu,kumbe wanapoteza muda na bando zao tu.
 
Sidhani
 
Najiandaa kwenda kumuona Baba yetu wa team Arsene Wenger Taifa Stadium ni
jambo ambalo linaweza lisijirudie tena
Yaani acha bro. Sadly Niko mkoani. Simba kama simba Haina maana yoyote ila imejikuta imebahatika kupata mgeni mkubwa kama Mzee Wenger bila kustahili. Na wengine Sasa wamepata fursa ya kukutana na le Prof, le tout puissant, le magnifique, le grand magicien, Arsene Wenger.
 
Mkuu hapo umesahau kuweka na kile cheo kikubwa kabisa alichopewa na José Mourinho "specialist in failure"
 
Matokeo ya Mechi ya Simba na Ahly yawe fundisho kwa mechi ya kesho ya Arsenal na Chelsea,wengi walijua Simba atafungwa magoli mengi lakini haikuwa hivyo,sasa matumaini ya KIPUUZI tunayoaminishwa na kina Hamis humu kwamba eti kesho ni USHINDI kirahisirahisi tu kana kwamba wachezaji wa Chelsea wana mguu ni vema yapuuzwe,Mpira una matokeo ya ajabu sana
 
Yule dogo Hana uelewa wowote na football
,
 
Acha kuifananisha Arsenal na upuuzi wa Afrika.

Matokeo ya kesho ni mawili tu, either Arsenal ashinde au Chelsea afungwe. Full stop.
 
Tunatanguliza shukrani za dhati darajani Kwa points 3 watakazotutunuku kesho.
 
Hizi Kima zimemsimanga sana mtoto wa Zelensky kesho lazima awaonyeshe kwa nini aliwakataa Arsenyau na akaamua kujiunga na Blue Army (The Pride of London)

#Mudryk Hatrick
#Kai 2 Aerial Duel
Mwanangu una hali mbaya Sana ,umegeuka kuwa mpiga ramli tu Kila Arsenal inapocheza ,jukwaa la manjesta hulitaki Tena

Ulihamia Mamacita tukambomoa

Umehamia Kenge FC tunambomoa leo

Utahamia Newcastle tutambomoa


Kifupi hatukupi nafas ya kufanya uchawi ,huku upande mwingine manjesta atakuwa anadondosha points
 
Ukiwa mgeni hapa JF halafu bahati mbaya ukaingia kwenye hili jukwaa la ARSENAL ukamsikiliza hamis77 na wafuasi wake unaweza kudhani wako serious sana na ubingwa msimu huu,kumbe wanapoteza muda na bando zao tu.
Walio serious na ubingwa Ni manjesta yako na kocha 7hag

Katika kipindi nimeona umejaa uchungu mwingi Ni kipind hiki


Pole Sana ,tafuteni kocha

Huku kugeuka mpiga ramli hakutasaidia
 
Kwa picha za Jana mazoezin

Kiungo kitakuwa

Ødegaard Partey Rice

Saka? Jesus Martinelli


Saka na Saliba Kama kawaida picha zao hazijaachiwa Kama tulivyofanya kwa Martinelli last week


Partey kafanya full training ,so expectation Ni aanze labda itokee kitu kingine


Aaron Ramsdale hatokuwepo ,mkewe anajifungua

Vieira aliondoka mapema mazoezin anaweza kuwepo au asiwepo sub
 
Hizi Kima zimemsimanga sana mtoto wa Zelensky kesho lazima awaonyeshe kwa nini aliwakataa Arsenyau na akaamua kujiunga na Blue Army (The Pride of London)

#Mudryk Hatrick
#Kai 2 Aerial Duel
Leo tukimfumua bwana ako Kenge FC uwepo hapa

Tulivyomfumua shangazi yenu Mamacita ulipotea

Tukimpiga leo Kenge FC rasmi ataanza safari ya kugombea kutoshuka daraja na manjesta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…