Tuko pamoja mkuu,sema ni vile jukwaa limekumisi na update zako tu.π π π π π Duu... ndugu nipo sana aisee mambo ni mengi muda ni mchache.
Liverpool mdogo mdogo tunareja kwenye ubora ni swala la muda tu.
YNWA
Timu ikiwa inafanya vyema aisee hua kuna ile feel good vibe muda mwingi na kuona ubingwa "ushatua" nyumbani hivyo hamis77 ni wakati wake sasa afanye fujo kwan muda mrefu sana wamenyanyasika aisee... ila sasa mtihani pale, kuanzia February mpaka May ndio Kipara kwa ukubwa wa kikosi unatunyanyasa.. Tazama tu Arsenal kuumia kwa Andre last season walivyokosa utulivu pale nyuma kwa kua kikosi hakikua na like for like back up...Tuko pamoja mkuu,sema ni vile jukwaa limekumisi na update zako tu.
Lakini unaona fujo za hamis77 ?
Huwezi kufanya valuation ya mchezaji if you dont understand ball, ndio maana watu wa recruitment ni lazma kwanza waelewe mpira tactically, inabidi ujue mchezaji ana add value ipi kwenye kikosi chako, na kwenye idara hii huwezi kuwa bora kumzidi pep Guardiola, sasa kama pep, tuchel, mikel walikuwa tayari kuoffer β¬100m kwa Daclan, unashangaza wewe shabiki unapo question vitu kama hivyo, hizi ni kazi za watu wapo full time, sio kwamba wanauza mahindi afu badae wanarudi huku kuona nini kimetokea.Ingefanyika revaluation ya wachezaji according to what they offer and a regulated market valuation. There are few player(s) ( maybe one or 2) in the world whose individual value exceeds Β£90m,
Mbona unatoboa Siri SasaIli chelsea tusiwafunge wahitaji kuwa bora tactically, lakini wanahitaji mental fatigue kwa kufocus mchezoni dakika zote 90, wasiwe na makosamakosa na uzembe, kwa level tuliyofikia kwa sasa ni kama unacheza na Man city, ukijisahau kidogo tu yani watu hivi, watu wanaenda kati.
Na wao wanatamba na Wana matarajio makubwaMpira ni dakika 90,na ni jambo zuri kumheshimu mpinzani wako,msidhani Chelsea Wana miguu miwili na Arsenal miguu mitano,tupunguze matumaini yaliyozidi uwezo
Kwenye platforms zao zote nimepita wanadai hivo tena wanajiaminiNimepita kwenye Uzi wa Chelsea eti wanasema Watakupigeni nyingi
Nisipowapiga nyie kenge had half time goli 3-0 ,nitaamini mpira unadundaNyie kondoo tukubaliane kbs, mngependa Mudryk awapge ngapi? ...
hawana utofauti, wote UEFA =0Kwenye platforms zao zote nimepita wanadai hivo tena wanajiamini
Cha ajabu sisi Arsenal humu Kuna watu wanatuzuia tusiseme tutawapiga
Sisi tunawangoja kwa pichi hiyo jumamos
Watatofautisha Kati ya kina Luton,Burney na hii Arsenal
Usije ukakimbia jukwaa kama kawaida yako,ukaacha mikondoo yako inahaha hapa, na pia nataka nikufahamishe mpira hauna bahati, usije ukaja ukasema tuliwabahatsha.Nisipowapiga nyie kenge had half time goli 3-0 ,nitaamini mpira unadunda
Hamna ubavu huo ,ninyi level zenu ni Luton FC ,hao ndio mnaiweza kuwavimbia ,sio simba wa London Chelsea .Kwa lugha hizi na kejeri hizi ,hatuna huruma na nyie
Wewe mwaka Jana hukupotea had nikakutafuta umesahau ?Usije ukakimbia jukwaa kama kawaida yako,ukaacha mikondoo yako inahaha hapa, na pia nataka nikufahamishe mpira hauna bahati, usije ukaja ukasema tuliwabahatsha.