Mwanangu na wewe umeingia kwenye mtego wa huyo jamaa?Akili za Arteta anauza assets na anaacha liabilities.
Partey sio wa January yule jinsi Arteta na benchi lake la ufundi wanavyom-care iyo care sio ya kawaida aisee. May be Summer ndo atauzwa ili lije ingizo jipya kwenye eneo.Nketiah ,Partey nimeona Smith Rowe anatakiwa na Newcastle ,chini ya £60m hauzwi
Yap huyo mpaka summer , tuna kazi nae UCL kwenye KO stagesPartey sio wa January yule jinsi Arteta na benchi lake la ufundi wanavyom-care iyo care sio ya kawaida aisee. May be Summer ndo atauzwa ili lije ingizo jipya kwenye eneo.
Mwanangu na wewe umeingia kwenye mtego wa huyo jamaa?
Hujui Balogun ameondoka sababu alitaka awe first choice pia Ni lazima tuuze ili kubalance vitabu
Bado Arsenal Wana percentage sale kwenye dili la Balogun
Na kwa form ya Nketiah alikuwa ahead over Balogun
Mwisho kwa Arsenal ilipo sio Balogun au nketiah wanaweza kuongoza safu ya ushambuliaji
Ndio Maana unaona anatajwa Toney , Victor Osimhen, n.k means Nketiah atauzwa .
Kama unakumbuka Yuri Tielemans alionekanaga muhimu Sana asajiliwe , ukafika wakati hakuwa Tena our level , now hata Astonvilla Hana namba.
Mbona Kuna vitu vya kutumia knowledge tu
Acha kujifanya unajua kila kitu kima weweMwanangu na wewe umeingia kwenye mtego wa huyo jamaa?
Hujui Balogun ameondoka sababu alitaka awe first choice pia Ni lazima tuuze ili kubalance vitabu
Bado Arsenal Wana percentage sale kwenye dili la Balogun
Na kwa form ya Nketiah alikuwa ahead over Balogun
Mwisho kwa Arsenal ilipo sio Balogun au nketiah wanaweza kuongoza safu ya ushambuliaji
Ndio Maana unaona anatajwa Toney , Victor Osimhen, n.k means Nketiah atauzwa .
Kama unakumbuka Yuri Tielemans alionekanaga muhimu Sana asajiliwe , ukafika wakati hakuwa Tena our level , now hata Astonvilla Hana namba.
Mbona Kuna vitu vya kutumia knowledge tu
Why ? Tunaweza kulifanyia kazi Kama la Rice ,maana ajenda Ni CF ,Victor Osiimhen to arsenal? No, I don’t see that deal materializing
Why ? Tunaweza kulifanyia kazi Kama la Rice ,maana ajenda Ni CF ,
Mfano January Leta Neto
Summer ,unaboresha kikos labda CF na Beki mmoja , una Bajeti ya £200m
Yah wamekuwa wakitaja Bei kubwa sanaHe is overpriced, not pretty sure arsenal are ready to pay for an overpriced player from other leagues with probability of adapting to EPL uncertain
How did Arsenal convince West Ham to pay £105M for declan rice, we've got ourselves not just a player but a precious gem 🫰[emoji2532]🥹
Nimekupata mtaalam, Mimi huwa inaniuma sana mtoto wetu wenyewe akianza kuperform aendelezwe kuliko kuuzwa kwa bei poa then unanunua mwingine ambae ni gamble tupu.Mwanangu na wewe umeingia kwenye mtego wa huyo jamaa?
Hujui Balogun ameondoka sababu alitaka awe first choice pia Ni lazima tuuze ili kubalance vitabu
Bado Arsenal Wana percentage sale kwenye dili la Balogun
Na kwa form ya Nketiah alikuwa ahead over Balogun
Mwisho kwa Arsenal ilipo sio Balogun au nketiah wanaweza kuongoza safu ya ushambuliaji
Ndio Maana unaona anatajwa Toney , Victor Osimhen, n.k means Nketiah atauzwa .
Kama unakumbuka Yuri Tielemans alionekanaga muhimu Sana asajiliwe , ukafika wakati hakuwa Tena our level , now hata Astonvilla Hana namba.
Mbona Kuna vitu vya kutumia knowledge tu
Madalali na media zinaharibu soko.Ingefanyika revaluation ya wachezaji according to what they offer and a regulated market valuation. There are few player(s) ( maybe one or 2) in the world whose individual value exceeds £90m,
Madalali na media zinaharibu soko.
Kwa market hii ambayo Casemiro ana 31yrs anaku ofa mwaka mmoja anauzwa €70m,Do you think we got him cheaper? I still believe his price was in the region of £50-70.