Bila ya King of Aerial duel, Master of pressing, professional of positional interchange Mtaalamu mwenyewe King Kai Havertz hicho kikosi itakua ni ubatili mtupu.
Chelsea hiki kiburi wanatoa wapi ? Kwa kumfunga Luton na Burney?Bila kumsahau Michael Jackson lazima awachezeshe Thriller pale darajani.
Kai tunaangalia na mechi ,umeona mfano juzi alipoingia ,mipira yote ya juu yake haipotei ,Bila ya King of Aerial duel, Master of pressing, professional of positional interchange Mtaalamu mwenyewe King Kai Havertz hicho kikosi itakua ni ubatili mtupu.
Ni kweli walikuwa wanamtakaKuna tetesi Man city pia walikuwa wanantaka Kai.
Mkuu hamis77 hii dozi ni kubwa sana kwa timu kama Chelsea.
I wish tutakuwa full house
Twende na hii lineup
__ Raya _
White Saliba Magalhaes Zinny
Ødegaard Partey Rice
Saka Jesus Martinelli
Ila wewe mwamba huwa unanikosha sana, shabiki poa sana stress free.Mungu aepushe mbali mlikose tu kwa kweli maana sisi Manyumbu sijui hata sura zetu tutaziweka wapi?
Na nilivyozungukwa na majirani zangu wote ni Asaninyau ninaweza nikahama mtaa.
Ila wewe mwamba huwa unanikosha sana, shaniki poa sana stressfree.
Hivi kumbe Newcastle kawazid point 1Maisha yenyewe yote yameshakua ni full stress, sasa ukiamua na kwenye burudani kujipa stress huo ni ujinga wako mwenyewe.
Hivi kumbe Newcastle kawazid point 1
Mpk Mei mtakuwa juu ya nyukesto..nyny mtakuwa wa saba...wao watakuwa wa nanewewe jichekeshe tu sasa hivi ila nakuhakikisha mpaka inafika May Asenyau itakua chini ya Newcastle, Liverpool, Man Utd na Mancity.
Kumbe jamaa anaishi kwa shemeji daahMbona inajulikana ,kila anayezaliwa Ni shabiki wa Arsenal,huko kwingine huwa Ni kupotea tu
Mfano Flano Ni mshabiki wa Arsenal,ila anajifanya Ni wa manjesta sababu ya shemeji yake
Mpk Mei mtakuwa juu ya nyukesto..nyny mtakuwa wa saba...wao watakuwa wa nane
Manjesta hii hii ya 7hag? GK onana ukilenga goli imoowewe jichekeshe tu sasa hivi ila nakuhakikisha mpaka inafika May Asenyau itakua chini ya Newcastle, Liverpool, Man Utd na Mancity.
Subiri tumpige ndugu yako Kenge FC,jitoe akili tu, hivi Asaninyau bado mnategemea msimu huu nataongoza ligi hata kwa siku 3?
️ |Jurrien Timber is eyeing a return from injury in January with the fullback set to have a big role in the latter stages of the Champions League,View attachment 2777739
Sasa wewe mpaka chama lako unalisagia kunguni...Maisha yenyewe yote yameshakua ni full stress, sasa ukiamua na kwenye burudani kujipa stress huo ni ujinga wako mwenyewe.
Mpira ni burudani, na burudani ili iwe burudani inatakiwa ikuburudishe sio ikufanye uwe stressed.