Bila ya King of Aerial duel, Master of pressing, professional of positional interchange Mtaalamu mwenyewe King Kai Havertz hicho kikosi itakua ni ubatili mtupu.[emoji1787][emoji1787]
I wish tutakuwa full house
Twende na hii lineup
__ Raya _
White Saliba Magalhaes Zinny
Ødegaard Partey Rice
Saka Jesus Martinelli
[emoji23][emoji23][emoji23] Punguza hasira kijana, kipigo walichokupea Arsenyani kisikufanye uwe na makasiriko mpaka unataka uwapangie watu ratiba za maisha yao.Tafuta kazi ya kufanya dogo ,kushinda humu kutype utumbo unapoteza muda na rasilimali ...
[emoji23][emoji23][emoji23] Bila kumsahau Michael Jackson lazima awachezeshe Thriller pale darajani.Munamuotea man shitye mchovu ngoja mukutane an ukuni wa Enzo na Caicedo mulambe lolo
Inatakiwa na nyie Manyumbu mkikutana nao hawa ndugu zenu muwakande tena ili kidomodomo cha hyo msela kiishe...maana anaongea sana[emoji23][emoji23][emoji23] Punguza hasira kijana, kipigo walichokupea Arsenyani kisikufanye uwe na makasiriko mpaka unataka uwapangie watu ratiba za maisha yao.
Olashoga mama la mamaMunamuotea man shitye mchovu ngoja mukutane an ukuni wa Enzo na Caicedo mulambe lolo
Yaani katulizwa Halaand sembuse hyo kimbaumbau😅😅😅...siku ikifika tutaona anafanya nn....pale Chelsea ni Enzo tu ndo kidoogo anaweza kujitutumua ila hawa wasuka dread wengine hamna kitu...ni watumishi hewa[emoji23][emoji23][emoji23] Bila kumsahau Michael Jackson lazima awachezeshe Thriller pale darajani.
[emoji23][emoji23][emoji23] Subiri mkavutishwe bhangi na Marasi pale darajani ndio mtajua kua bhangi sio Shisha.Yaani katulizwa Halaand sembuse hyo kimbaumbau[emoji28][emoji28][emoji28]...siku ikifika tutaona anafanya nn....pale Chelsea ni Enzo tu ndo kidoogo anaweza kujitutumua ila hawa wasuka dread wengine hamna kitu...ni watumishi hewa
Uzuri ni kwmba sikuhzi tunaacha mnaongea wee ikifika siku ya tukio tunafanya kilichotupeleka pahala husika then tunaacha mnaanza kushushiana lawama sasa...sisi tunasonga mbele[emoji23][emoji23][emoji23] Subiri mkavutishwe bhangi na Marasi pale darajani ndio mtajua kua bhangi sio Shisha. View attachment 2777580
Mwache tu huyo. Si unajua jukwaa lao Lina wachangiaji wawili tu? Huyo Hana namna, lazima apite majukwaa yetu Ili apate engagement[emoji23][emoji23][emoji23] Punguza hasira kijana, kipigo walichokupea Arsenyani kisikufanye uwe na makasiriko mpaka unataka uwapangie watu ratiba za maisha yao.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unamuandama sana King Kai! Pole sana brother najua unapata tabu sana na Arsenal and unajitahidi sana kutafuta loophole ya kuisema. hiyo ni kazi ngumuBila ya King of Aerial duel, Master of pressing, professional of positional interchange Mtaalamu mwenyewe King Kai Havertz hicho kikosi itakua ni ubatili mtupu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sio siri ndugu yangu hii Asenyo ya Asali na Maziwa inatukosesha sana amani huku kitaani.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unamuandama sana King Kai! Pole sana brother najua unapata tabu sana na Arsenal and unajitahidi sana kutafuta loophole ya kuisema. hiyo ni kazi ngumu
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani tukichukua kombe lolote tu Hamisi atakukausha damu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sio siri ndugu yangu hii Asenyo ya Asali na Maziwa inatukosesha sana amani huku kitaani.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mungu aepushe mbali mlikose tu kwa kweli maana sisi Manyumbu sijui hata sura zetu tutaziweka wapi?Yaani tukichukua kombe lolote tu Hamisi atakukausha damu [emoji1787][emoji1787]
Yaani hapa bado
Na Mtasema !
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani nyie manyumbu mmenunua Sanchoka enzi hizo, tena bei ghali kuliko Kai na kazi kubwa aliyofanya ni kunenepa tu, badala mdili naye mnataka kumkomdesha King Kai mwenye assist yake dhidi ya Man City[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mungu aepushe mbali mlikose tu kwa kweli maana sisi Manyumbu sijui hata sura zetu tutaziweka wapi?
Na nilivyozungukwa na majirani zangu wote ni Asaninyau ninaweza nikahama mpaka mtaa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] sio assist tu pia ana goli zake mbili za Pre season muulize Masingeli atakwambia[emoji16][emoji16][emoji16]Yaani nyie manyumbu mmenunua Sanchoka enzi hizo, tena bei ghali kuliko Kai na kazi kubwa aliyofanya ni kunenepa tu, badala mdili naye mnataka kumkomdesha King Kai mwenye assist yake dhidi ya Man City
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio sahihi Kai kuwa LCM, tunaforce kitu kisichowezekana. Arteta aendelee kumpanga CFKikosi kikiwa full kabisa our Midfield Ni Partey Ødegaard na Rice
Kai anakuwa False 9
Amecheza LCM sababu tulipoanza Ligi
Zinny alikuwa injury ,hivo Partey ikabid atumike Kama RB Inverted ,
Mbona inajulikana ,kila anayezaliwa Ni shabiki wa Arsenal,huko kwingine huwa Ni kupotea tuHivi unaelewa kwamba Hazard legend wa the blues alikuwa shabiki la washika mtutu wa london!
Eden Hazard in February 2021: “For me, the players I looked up to were Zinedine Zidane & Thierry Henry. It’s difficult for me to admit because of my relationship with Chelsea, but I really liked the Arsenal team at the time. They had players like Pires, Wiltord & Vieira.” #afc