Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal are stronger this season with strapping superstars, new physicality and bringing in Ivan Toney could help them push Man City all the way


@SamiMokbel81_DM
 
Ian Wright mshabiki mkubwa wa Eddie Nketiah amemuomba Arteta amtumie Kai as CF badala ya Nketiah

 
Arsenal have played 11 matches this season in all competitions

6 clean sheets
 
Gabriel Jesus

When Saka was unavailable, Jesus played LW.

When Martinelli was unavailable, Jesus played RW.

When Martinelli and Saka are unavailable, Jesus plays CF.

That's some special ability of a player! Rare kind!
 
Historia ambayo huwezi kuambiwa
 
Ni muda muafaka wa kuweka heshima yetu sawa Sasa
 
Mechi na Kenge FC tunaanza kuijadili lini

Wana hatari gani kwasasa

I believe tutawafata tukiwa full house
Tukiijadili mapema Kenge watajipiga ban
Ata huyu anaeitwa olashoga siku hizi unamuona humu?

Kenge atakula chuma 4+ under ceteris peribus
 
Tabia zake naona zinaenda kinyume na anachotaka Arteta
 
Ian Wright mshabiki mkubwa wa Eddie Nketiah amemuomba Arteta amtumie Kai as CF badala ya Nketiah

View attachment 2777305
Kwenye zile mechi 10 miyeyusho tulilia na kusaga meno kwamba tucheze back 3. Na miongoni mwa vilio vya back 3 vilitoka kwa Ian.

Arteta alitia pamba sikioni na kupiga kanyaga twende la haja.

Sidhani kama hili atafanya kama haukua mpango wake. Hata hivyo Kai siyo CF hajawahi kua, AM na SS na utakula mema ya nchi
 
Kwa mfumo wetu Ni either umtumie Kama False 9 au LCM au RCM ,

labda tu switch 4-4-2 au 4-2-3-1 kitu ambacho Sioni kikitokea kwasasa ili atumike Kama SS na AM Kama ilivyokuwaga Ozil kipind kile .

Kwa mfumo huu wa 4-3-3 , anaonekana ana impact eneo la false 9 kuliko LCM,
 
Kwanini ? Sio kwamba Toney atatupa kitu tofaut

Hewani
Hold up
Uwezo wakufunga
Namaanisha tabia za nje ya uwanja. Kubet, kutukana klabu anayochezea na vitu kama hivyo.

Kuhusu uwezo hakuna atakayepinga uwezo wake. He is good, hana skills za kutisha ila haogopi kulifuata box, ana pace, ana vision na nguvu
 
But false 9 mzuri anatakiwa aweze kusogea hadi mid awe ana nguvu za kuhold defense ili kuruhusu wingers na mid ya mtindo wa Vieira au Odegaard kuscore.

Wazia Benzema, Firmino au Jesus. Sioni kama Kai atatoa hivyo vyote akiwa pale. Mainly atapose threat kwamba hapa kuna player mrefu na ana pace but hatooffer enough kufanya wingers na mid ziwe at peace kushambulia.
 
Namaanisha tabia za nje ya uwanja. Kubet, kutukana klabu anayochezea na vitu kama hivyo.

Kuhusu uwezo hakuna atakayepinga uwezo wake. He is good, hana skills za kutisha ila haogopi kulifuata box, ana pace, ana vision na nguvu
Anabadilishwa anakuwa kijana safi...ile ni familia itamfundisha namna ya kuishi...huku atakutana na high skilled players na wana discipline....atakuwa hana namna ata adopt...plus mwalimu ni no nonsense guy....atatulia...mm naomba sana tumpate hyu muhuni...hyo Osimhen mm simkubali kama navyomkubali msela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…