Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kwamba picha za mazoezi zimefichwa


Ila utoto raha sana kama kombolela vile.

Yaani hivi vichekesho hupati sehemu yoyote ile zaidi ya humu, Man city wakusubiri picha za mazoezi za Arsenal kwel? ili tu kuangalia kama martinelli yupo amq hayupo picha zenyewe za insta au youtube


Kama hizi ndo mind games basi hata ihefu tu hawezi kufanya maana ni vichekesho ila wauza matikiti wanakuambia kwao ndo mind games. Yaani picha za mazoezini zifanye team ipate ushindi au ifungwe haya ni maajabu .
 
Sawa wanakuwaga hawapo sasa ndo mpigwe mechi nyingi hivi mfululizo.

Utofauti wenu na kondoo tukisema ni harufu tu tutakuwa tumekosea.

Yani hii Ni zaidi ya uteja aise Yani Ni kupigwa Left _Right

Prediction

Arsenyani 1 vs Manchester City 3
 
Hii game naikumbuka
Before red card, ngoma ilikua 50/50 octopus partey anachafua tu dimba

Yule Refa mpuuzi akaanza kumtoa umeme partey
Sawa mlichafua hii mechi tufanye iyo mlifungwa sababu ya red card Vipi na hizi zingine zimefikaje?
 
Mpira una matokeo matatu

But hii haizuii Mashabiki kuwa na Iman na timu Yao

Hata wao Mancity wanaogopa pitia platform zao

EPL Hakuna mchekeamchekea ,

Wanakuja kwetu lazima wawe na adabu
Adabu unaitoa wapi kwa ratiba hii kwanza man City akutakiwa hata kupasha maana anaendelea alipoishia maana nyie ni vibonde wake tu mtaki mtapigwa mnataka mtapigwa.
 
Hamis ni tapeli pekee aliyepo arsenal, wengi wenu mna akili sana isipokuwa huyo hamis chambuzi la ETH
 
Mna miaka karibu 200 hamna hyo UCL, acha kuwadanganya kaka zako humu JF
 

City nayo mpaka saivi imekosa wachezaji ambao kwao ni muhimu zaidi vile vile kama KDB lakini husikiii wakilalamika . Ni sawa na Arsenal kumkosa ode hawa wengine si engine ya team kama alivyo KDB au ode, so excuses zisiwepo .

Kuna baadhi ya games hao kina martineli huwa hawafanyi lolote mpaka baadhi ya arsenal fans mnataka aanze trossard badala ya martinelli.

Key players akiwa fit nachojua ni kuwa panga pangua huwezi kumkosa X1 sasa nyie kila mchezaji mnamwita key player yaani timber angekuwepo halafu zincheko kaumia bado mngepiga kelele kuwa zincheko hayupo au white hayupo. Wakati tunajua hata wote wangekuepo still kuna baadhi wasingecheza kutokana na kucheza position inayofanana.
 
Assume itokee Real Madrid, Bayern, Arsenal na Man City wawe kundi 1 UCL alafu zinafuzu team 3, unafikiri Arsenal ana quality ya kufuzu hapo?
 
Mimi na exposure huenda kuliko wewe ,

Kwa akili yako unadhani mancity anakuja bila kupambana ?


Nimepitia platforms za mancity kwenye mitandao yakijamii nimeona wanavyohofu mechi ya leo


Wewe upo tandahimba unanibishia ,hivi utaacha ujinga lini


Yaani wewe unatokeeaga kwenye mechi unazohisi tunaungwa ili utunange vzr


Tulifungwa pre season na manjesta 2-0 uliinanga timu na kocha ukajimaliza


Mech na mancity Community shield hivo hivo uliinanga timu ukasema tupaki basi


Tulipomuweka nyuma mancity nakupata goli ,ukapotea


Why mtu Kama wewe usikilizwe?


Unataka tuseme leo tutafungwa ndio ufurahi


Wewe ulihamia PSG ukatuacha humu na kejeri kibao ,Leo Nani atakuamini
 
Hao City wanalalamika kwan wana mashabiki?


Uku kuna banda umiza moja kulikua na game kama 4 ivi alf zote za mda mmja ilikua ni EFL tv ni 3 tu
Brendford vs Arsenal

Liverpool vs Leicester

Chelsea vs Brighton

Newcastle vs Man city


mwenye banda analazimisha kuweka game ya Man city mwamba mmoja akasimama akauliza

"Kuna mashabiki wa Arsenal watu ndio
Kuna mashabiki wa Chelsea watu ndio
Kuna mashabiki wa Liver watu ndio
Kuna mashabiki wa City au Nyuke watu kimya "
Done
 
Computer arsenal

Wewe unatokea mechi unazoona tunafungwa uitukane timu na kumnanga kocha

Unakumbuka ulihamia PSG kwa mbwembwe na vigeregere , hutupi Tena maendeleo huko PSG ,umebaki kuvizia timu ikidroo au kufungwa utukane kocha na wachezaji .

Mech vs manjesta pre season tulipofungwa ,uliiona timu hafai , manjesta ndio wanafaa ,


Mechi ya community shield ulijimaliza ,kumbukumbu zipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…