arsenal2004
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 2,328
- 4,315
Martinelli si hajarudi bdoFormula ni ile ile ... kati kati Partey lcm achze rice amsaidie Zinny.juu kidg Ode mbele Utatu mtakatifu martineli saka mbele jesus... tumemaliza
Hapo ndo itabidi acheze jesus... Kai acheze 9 . Fundi Trossard mzuri zaid akiingia kuchukua nafasi ya KaiMartinelli si hajarudi bdo
Kai acheze vipi 9 wakati kufunga hajui??yule ni Mtumishi Hewa tu,ni mzigoHapo ndo itabidi acheze jesus... Kai acheze 9 . Fundi Trossard mzuri zaid akiingia kuchukua nafasi ya Kai
Nketia mzinguaji zaidi kuliko KaiKai acheze vipi 9 wakati kufunga hajui??yule ni Mtumishi Hewa tu,ni mzigo
Nketiah ana finishing nzuri kuliko forward yoyote wa ArsenalNketia mzinguaji zaidi kuliko Kai
Nketiah ana finishing nzuri kuanzia lini? Anamzidi Trossard?Nketiah ana finishing nzuri kuliko forward yoyote wa Arsenal
Actually yes.Nketiah ana finishing nzuri kuanzia lini? Anamzidi Trossard?
Na moves anazouaga hauzioni? Wakati mwingine tunataka striker ambaye asiposcore, ana uwezo wa kucreate chances za magoli au mashambulizi. Nketiah hana uwezo kama wa Trossard. Trossard ana uwezo wa kufunga sehemu yoyote na anacreate magoliActually yes.
Ni haiingii akilini kwa macho ila ndiyo ipo hivyo. Yaani kuna uwezekano mkubwa Nketiah akaconvert chance kua goli consistently kuliko forwards wengine
Jamaa ana maisha yake Hollywood.anajua kuigiza mno.kuna muda natazama akili yake na alivyo decent liar najikuta namuona TOM CRUISELast season Pep alisema Arsenal ipo kwenye mbio za ubingwa na anaiheshimu kisha msimu ulivyoisha akasema Arsenal imeshinda taji lake kubwa zaidi (kushiriki UEFA)
Msimu huu anatuita title contenders.
Ni same script
Yaani hapo ni finishing pekee haijaangaliwa kulink up play, kusumbua mabeki na vitu kama hivyo.Na moves anazouaga hauzioni? Wakati mwingine tunataka striker ambaye asiposcore, ana uwezo wa kucreate chances za magoli au mashambulizi. Nketiah hana uwezo kama wa Trossard. Trossard ana uwezo wa kufunga sehemu yoyote na anacreate magoli
Kaka tukiangalia current performance bora kwenda na nketiah kuliko kaiNketia mzinguaji zaidi kuliko Kai