Arteta ni kocha mzuri sana no doubt, ila anatake risk sana at times mpaka ana mess up.
Kwani kumpuzisha Saka kunamcost nini?
Plus Reiss Nelson na ESR wamemkosea nini huyu jamaa? Wana deserve chance.
Ramsdale ndo kabisa, he doesn't deserve this asee.
City ni must win game kama kweli tunataka kunyanyua ndoo msimu huu.