Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hii mechi tungekua na full kikosi ingekua imeshaisha majeruhi yana tugharimu
 
Kuna watu hua wananibishia kitu kisa mtu kacheza vizuri mechi mbili tatu.

Angalia huyo jamaa alivyopoteza mpira aliachwa nyuma ndani ya sekunde ngapi?
 
Daah. Nataka tuwafunge Hawa ila Ile penalty...asingeweza kuizuia. Acha Sasa ikiwa 2-2 twende nao sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…