Arsenal (The Gunners) | Special Thread

David Raya anaipa Arsenal njia nyingine ya kuwafikia wapinzani kwa accurate long balls

Jana katika long balls 17 , long balls 12 zilifika kwa usahihi

Hii inamaana tunaweza kulifikia lango la mpinzani kwa mpira mmoja tu
 
David Raya anaipa Arsenal njia nyingine ya kuwafikia wapinzani kwa accurate long balls

Jana katika long balls 17 , long balls 12 zilifika kwa usahihi

Hii inamaana tunaweza kulifikia lango la mpinzani kwa mpira mmoja tu View attachment 2757122
Rambo alilega kwenye mechi za mwisho last season, huyu Raya yuko njema sana
 
Rambo alilega kwenye mechi za mwisho last season, huyu Raya yuko njema sana
Raya msimu ulioisha akiwa Brentford aliongoza kwa saves dhidi ya makipa wote.

Akiwa Arsenal atapata clean sheets nyingi kwa kuwa timu yetu haishambuliwi sana.

Tutakua na nafasi nzuri pia ya kumpiga mpinzani wetu kwenye ubingwa, City kwa kuwa Raya ana makosa machache ukilinganisha na Ramsdale.
 
Tusimsahau na Trossard anavyosaidia kuziba pengo la Martinelli.
Jamaa anakupa goli ama assist ama vyote.
Jana kuna pass alimpa Jesus akafunga goli la tatu. Cross ilikuwa nzuri na laini sana kutuliza kiasi kwamba Jesus hakuwa na kazi kubwa kufanya ili kufunga.
Ila pia mliona jinsi Trossard alivyoona tu Jesus anautuliza mpira, akaanza kunyanyua mikono kushangilia. Ni kama alijua kabisa jamaa akishatuliza huu mpira ni goli.
 
Yah upo sahihi, halafu Kuna magoli tunafungwaga ya Kona au Kross ,Raya atapunguza Sana sababu Kross au Kona anazitokea Sana kuzicheza

Hiyo tu inatosha kumpa Cleansheet nyingi
 
Trossard akicheza LW anakupa ufundi mwingi ,

But huwa Martinelli anaanza sababu tunahitaji winger ya kukimbiza Sana pemben

So Hadi Sasa naona nafasi nzuri zaidi kwa Trossard kwa mechi wanazoziba Sana mianya acheze LCM,

Kuna mechi unaona kabisa beki wa pemben anavyokimbizwa ,mfano Trossard acheze against Trent ,Trent ata relax Sana sababu Trossard akipata mpira hakukimbizi atataka afanye maufundi yake

So wanatupa Radha tofauti
 
Yes, mwamba siyo mkimbizaji sana ila ninachompendea ni mkifika kwenye box la mpinzani na ukamuona kapata space na anaomba mpira, wewe mpe huo mpira. Then anza tu kufurahia maana ndani ya sekunde chache mpira utakuwa wavuni.
 
Yes, mwamba siyo mkimbizaji sana ila ninachompendea ni mkifika kwenye box la mpinzani na ukamuona kapata space na anaomba mpira, wewe mpe huo mpira. Then anza tu kufurahia maana ndani ya sekunde chache mpira utakuwa wavuni.
Yah sio mkimbizaji ,yeye Ni wale Technical player tofaut na Martinelli
 
Thierry Henry on the #Arsenal Goalkeeper situation:

“He went to get Raya. He thinks he is a better player. There is no rotation. He thinks David Raya is better. People have to stop with that goalkeeper thing. When you play at a big club competition will happen.

“I don’t think it’s about rotation. I don’t think Mikel wants to rotate, as you can see (Raya starting again).

“He went to get a goalkeeper that I think and he thinks that is going to win him the league. That’s why he plays him – You have to respect that. It’s not about being right or wrong.”
 
Henry amefunguka ile mbaya, ameongea kauli nzito nzito
Hii kwa Rambo lazima imtie presha Sana

Kauli za Henry nk Kali sana
 
Najua kuna non-english pundits wameongelea hili. ila nina swali...
Ramsdale ni mwingereza, Raya ni muispania. je, ingekuwa ni Ramsdale anakuja kumreplace Raya (kama ilivyokuwa kwa Leno) je reaction pale England ingekuwaje?
 
| Thierry Henry on Mikel Arteta starting David Raya: “It's not about who is right or who is wrong - Mikel Arteta is the coach. He sees David Raya as a guy that can win him the league. When he sold Bernd Leno, he saw Aaron Ramsdale as a guy that can help them get to the top four.

“When you play at a big club, competition will happen. Second of all, when you are a striker and a club gets one of the best strikers in the world to compete with you, does a striker cry because you might not feel comfortable because there is another guy that can take my position at half-time or after an hour?

“I can tell you it's not easy as a striker to go on the field knowing that if you miss, in an hour someone will come on. It's not about rotation. I don’t think Mikel wants to rotate. He went to get a goalkeeper that I think, and he thinks, is going to win him the league. There is no rotation there.

“Bernd Leno went through the same thing! When Ramsdale arrived, Arteta wanted a goalkeeper that could get him into the top four. I think he sees Raya as the guy that can get him to win the title and that's why he plays him.”
 
There is no rotation there

Hii kauli ni Kali Sana
 
There is no rotation there

Hii kauli ni Kali Sana
Ramsdale apambane mazoezini aonyeshe kurekebisha makosa yake....hyo ndo njia ya ku respond....yy na yy alichukua nafasi ya Leno kwa style kama hii....hyo ndo consequence ya kucheza kwny klabu kubwa...You have to perform to the highest level...vngnevyo watu wanachukua nafasi....
 
| Mikel Arteta will speak to the media ahead of Tottenham on Friday at 13:30.

#ARSTOT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…