Mayai7 yule ni dalali sio kocha, hata ukimuuliza style anayocheza yeye mwenyewe hajui atakujibu tu papatu papatu gegen pressing.Tumjadili ili atakapoendelea kupigwa goli za kutosha ,lawama wasipewe Graza family
Hivi mpaka Sasa 7hag anacheza aina gani ya mpira
Kai kuitwa version ya Ozil ilianza kuitwa akiwa na miaka 18 na Wajerumani wenyeweMayai7 yule ni dalali sio kocha, hata ukimuuliza style anayocheza yeye mwenyewe hajui atakujibu tu papatu papatu gegen pressing.
Ila kwa Kai Harvez kuwaaminsha watu humu kua ni new version of Ozil hio dhambi haita kuacha salama ndugu yangu Masingeli[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kai anaezungumziwa hapa ni Kai wa Arsenyo sio yule kinda wa Dortmund, hata Maguire wa Leicester city mbona alikua anafananishwa na Roberto Carlos.Kai kuitwa version ya Ozil ilianza kuitwa akiwa na miaka 18 na Wajerumani wenyewe
Arsenal Tupo vizuri ila kwanini linakua zito hili swala kulikubali?Ila mwanangu Masingeli una kipawa kikubwa sana kwenye ushawishi, yaani kuna watu humu wameshaanza kumsifia kabisa Kai Havertz baada ya kusikiliza mapambio toka kwa Masingeli.
Masingeli ngoja nifanye mchakato halafu nikutafute tufungue kanisa letu la upako tutapiga pesa kinyama mno ndugu yangu.
Kwenye kanisa letu tusisahau kuwachukua na chawa wako arsenal2004 pamoja na mkorea wakusaidie kwenye kazi ya unabii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani Flano Kai anafanya vibaya Arsenal au unafata upepo tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kai anaezungumziwa hapa ni Kai wa Arsenyo sio yule kinda wa Dortmund, hata Maguire wa Leicester city mbona alikua anafananishwa na Roberto Carlos.
Kwa jicho la uchambuzi na maono nilimwambia flano miezi miwili iliyopita Kama Madrid hatasajili CF world class Basi atakuwa na Hali mbaya ,Sasa GK akaumia wanae kepa, CB akaumia miltaoArsenal Tupo vizuri ila kwanini linakua zito hili swala kulikubali?
[emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Suala la uzuri wa Arsenyo kwenye hatua za mwanzo za michuano hakuna yoyote anaepinga, ila hapa napingana na ndugu yangu Masingeli kwa kuaminisha watu kua msimu huu Arsenyo pekee ndio nzuri halafu timu zote zilizosalia kuanzia Madrid, Bayern, Psg, Barcelona zote ni mbovu, Masingeli anakwambia ni Mancity pekee ndie anaeweza kuichallange Arsenyo.Arsenal Tupo vizuri ila kwanini linakua zito hili swala kulikubali?
[emoji1][emoji1][emoji1]
Kwa class na depth ya kikosi Cha arsenal hatutakiwi kuwa na akiba ya maneno[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Suala la uzuri wa Arsenyo kwenye hatua za mwanzo za michuano hakuna yoyote anaepinga, ila hapa napingana na ndugu yangu Masingeli kwa kuaminisha watu kua msimu huu Arsenyo pekee ndio nzuri halafu timu zote zilizosalia kuanzia Madrid, Bayern, Psg, Barcelona zote ni mbovu, Masingeli anakwambia ni Mancity pekee ndie anaeweza kuichallange Arsenyo.
Wenzake ndio wamemwambia awe na akiba ya maneno, haya mambo ya kumtukana mambo kabla ya kuvuka mto hua yanasababisha mwisho wa siku anakimbia jukwaa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kai huyuhuyu wa goli mbili za pre season au Kai gani unaemuongelea hapa?Kwani Flano Kai anafanya vibaya Arsenal au unafata upepo tu
Kai hajafanya vzr Sana Wala hajafanya vibaya ndio maana unaona anapata na nafasi anacheza
Hivi Kai angekuwa ovyo Kama inavyohubiriwa,ile mechi pale Emirates ndan ya dk 100 mngepiga pass 15 tu kwenye Midfield ya Arsenal
Kai nafas anayocheza Arsenal Hakuna guarantee umadai magoli ,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kai huyuhuyu wa goli mbili za pre season au Kai gani unaemuongelea hapa?
Daaaahhh najaribu kuweka na picha zake humu za matukio lakini leo app inakataa kabisa kuweka picha.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sawa lakini kama hutakiwi kuweka akiba ya maneno mshauri basi ndugu yangu Masingile ikifika mwisho wa msimu wakati timu zanazojielewa zinakabidhiwa kombe asikimbie jukwaa na kuwaachia msala humu kina computerarsenal na zitto junior [emoji23][emoji23][emoji23]Kwa class na depth ya kikosi Cha arsenal hatutakiwi kuwa na akiba ya maneno
Na tunatakiwa kuangalia mpira huku vifua wazi[emoji1][emoji1][emoji1]
Wenzangu kina Nani ? Mimi niliweka mtazamo wangu aisee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Suala la uzuri wa Arsenyo kwenye hatua za mwanzo za michuano hakuna yoyote anaepinga, ila hapa napingana na ndugu yangu Masingeli kwa kuaminisha watu kua msimu huu Arsenyo pekee ndio nzuri halafu timu zote zilizosalia kuanzia Madrid, Bayern, Psg, Barcelona zote ni mbovu, Masingeli anakwambia ni Mancity pekee ndie anaeweza kuichallange Arsenyo.
Wenzake ndio wamemwambia awe na akiba ya maneno, haya mambo ya kumtukana mamba kabla ya kuvuka mto hua yanasababisha mwisho wa siku anakimbia jukwaa.
Naona kwasasa unatafuta mada zakukupa ahueni[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sawa lakini kama hutakiwi kuweka akiba ya maneno mshauri basi ndugu yangu Masingile ikifika mwisho wa msimu wakati timu zanazojielewa zinakabidhiwa kombe asikimbie jukwaa na kuwaachia msala humu kina computerarsenal na zitto junior [emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mwenzako alikuwa na maneno hivi hivi akasema Kiungo Cha Kai Rice Øde haiwez kubalance , mara kilain Sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kai huyuhuyu wa goli mbili za pre season au Kai gani unaemuongelea hapa?
Daaaahhh najaribu kuweka na picha zake humu za matukio lakini leo app inakataa kabisa kuweka picha.
Wewe si ndie ulikua unamshangilia kwenye pre season kwa kufunga magoli mawili na kuwakandia kina Masebene kwa kutokufunga?Kai nafas anayocheza Arsenal Hakuna guarantee umadai magoli ,
Mpaka Sasa anatakiwa kuongeza magoli na assist Basi,
Kai anatakiwa kufunga na kuassist but sio guarantee elewa HiloWewe si ndie ulikua unamshangilia kwenye pre season kwa kufunga magoli na kuwakandia kina Masebene kwa kutokufunga?
Kwa hio nafasi anayocheza Kai hatakiwi kufunga kwenye nafasi anazopata za magoli ya wazi sio? Unataka kutuambia humu kazi ya Kai inaishia kuwin aerial duel na kua mnyumbulifu?
Masingeli si wewe ndie ulietudanga humu kua Kai Havertz has some similarities with RVP?